Livingstone Lusinde aibu hii utaiweka wapi?

Livingstone Lusinde aibu hii utaiweka wapi?

Darasa la saba, hapana ameishia la sita.,nilipata kukutana na mwalimu wake wa shule ya msingi Mbigiri alinidokeza.
Shule ipo Kijiji cha Mbigiri, kata ya Magole wilaya ya Kilosa..Kijiji kipo jirani na Dakawa High School.
Hakumaliza hata darasa la saba,ukitaka zaidi ni pm

Weka mambo hadharani JF watakulinda tu.
 
Nyamaza wewe bwiga wewe,

Wewe ndo mbwiga pu.MBA.vu Wewe! Yaani siku hizi vijana hamna uwezo hata Wa kufahamu wabunge japo 20 tu na majimbo yao! Tangu mwongozwe na Mulugo na akili zenu zimekuwa mulugo!! Tangu lini Lusinde akawa mbunge Wa Ludewa?
 
Kwangu lusinde ni ok tu. Hana tatizo. Tatizo ni sisi ambao badala ya kuangalia issues tunaangalia upande upi tuunge mkono.
 
Ulipotosha umma jana na elimu yako ndogo, wanaccm wenzako wamekugeuka kwa kuongea pumba zako.

Hapa naamini shule kwenye masuala ya siasa inahitajika, hivi jana ulipokuwa unaisemea serikali na maneno yako ya kanga na machafu ambayo hukuongea point hata moja, you show how stupid you are.

alikataliwa kwenye mahafal ya form four as mgeni rasmi kwa sababu elim yake ndogo kuliko wahitimu
 
Mimi binafsi nilimuona kama vile ana kila dalili za ushoga maana mwanzo hadi mwisho aliongea kishoga! Na Mtera wanasema wana mbunge! Kama mtera wana vilaza na hakuna wasomi wanao weza kugomgea ubunge basi waombe msaada wa watu wenye busara kutoka majimbo jirani kuliko kupeleka bungeni vioja kama lusinde.
 
Huyu Lusinde ni ndugu yake na W.J.Malechela.
Alipata ubunge kwa sababu ya kubebwa na maadui wa Mzee Malicela ndani CCM.
 
Kitendo cha kumdondosha mzee malecela kimemfanya lusinde ajionee km super star bungeni ila ajue mwakani uchaguzi tena hivyo wananchi wanawaona na kuwapima kikamilifu mana watu husema bora uteleze mguu kuliko ulimi madhara yake ktk box la kura

Sipati picha hao waliompa kura wakoje kama mbunge wao mpuuzi hivyo.
 
Kweli hata me alinishangaza kila mtu officeni alisema ana maeneno ya kina mama wa vibarazani hakuna mwanaume

rijali anaweza kuwa na maneno ya kichoko kama yale anatia kichefuchefu alistaili kuwa mfagizi wa bunge na wala sio mbunge.

Kuna tetesi watu wanasema alikuwa MC washerehe dodoma na alikuwa akilewa analawitiwa.
 
Bila kumsahau ashki majinuni na Asumpta mshama..
Mjadala mzito kwa kuliokoa Taifa wanaongea pumba tupu
 
Yani lusinde ni zaidi ya stupid, nashangaa hata hao wananchi wa ludewa kazi anayo

Ludewa haijawahi kuwa na mtu mwoga na mnafiki unamfahamu Horace Kolimba? Mgaya yule wa TUCTA? Christopher Mtikila? Na Sasa Makamu mwenyekiti PAC Filikunjombe? Hao ndo product za Ludewa. Hisia zangu naweza hata mhamishia Kangi Lugola kule Ludewa, character zake zina match, nafuatilia origin za mababu na mabibi zake
 
Kuna tetesi watu wanasema alikuwa MC washerehe dodoma na alikuwa akilewa analawitiwa.

Basi itakuwa alishaathirika kufanyiwa hako ka mchezo ndo maana kila akisimama kuongea anamiss kugongwa anaongea pumba.
 
yule jamaa ashki x2 somebody chano na yule mama wa shule ya msingi mi ndiyo walinikera saana ,they are garbages,,,mi naona lusinde kwa elimu yake amajitahidi saana, tatizo lake ni yale mambo yake ya kukera wenziwe ila pia wengine walikuwa wanamchokoza kwa kuingilia speech yake.

Hivi elimu yake ni ya kiwango gani
 
mpuuzi huyu analeta umtaani bungeni! mara mi sifanyi michezo hiyo mara mbunge gani kambania pua! kusema kuwa ana shule ndogo isiwe sababu ya kutokumsema huu ni ubaradhuli uliotukuka mahali pale sio pa kuleta mashairi ya mchiriku huo ujuha hauvumiliki.
Binafsi hata kange lugora alinikera kufanya maigizo yale.

Kumbe kuna mliotarajia kusikia point kutoka kwa huyo Kilaza. Siyo kwamba shule yake ni ndogo Bali hajaenda shule. Ukiishia darasa la Saba maana yake hujasoma. Darasa la Saba unajifunza kusoma na kuandika ili ukienda shule vikusaidie.
 
Back
Top Bottom