Bin Mngereza
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 610
- 269
Yaani jamaa anapewa dakika 30 anaongea kama mwanamke wa uswahilini mwananyamala. Alinichefua chefu hadi nikamtapikaaaaaaa
Kiongozi,mbona na wewe unataka kufanana nae?Waombe radhi wanawake wa mwananyamala/uswahilini kwa kuwafananisha na huyo ndugu.