Livingstone Lusinde aibu hii utaiweka wapi?

Livingstone Lusinde aibu hii utaiweka wapi?

Kikazi hiki hadanganywii mtu tenaa maamuzii tunayo sisi rai tuu
 
akina lusinde ndio etiwametengeneza katiba ya mbunge ajue kusoma na kuandika halafu unataka huyo lusinde akahoji a/c ya escrow silazima atampigia chapuo prof.muhongo jamani tanganyika yangu
 
Ni bora hao la 7 kuliko wale wasomi kwani Nchi hii wasomi ndiyo wezi na hao wasomi ndiyo wanatia sahihi mikataba mbovu, Hapa Tz 90%ya wasomi ni mafisadi.
 
Profesa Tibaijuka,mbilinyi,Mhongo ,Mwakyembe,na Kapuya tuna nini cha kujifunza toka kwa Hawa wasomi ?
 
Jamaa hajielewi

Lusinde japo anaongea Kama cherehani lakini kupitia Comedy zake kuna Ujumbe ulikuwemo Mfano pale kwenye makundi manne 1-wanataka Urais 2-waliopewa Mgao 3-waliokosa mgao 4-mabenk , Haya makundi kila moja Lina watu wake kwenye Hilo sakata la escrow,Pia kumbe Zito alikuwa akichepuka na kwenda kuchukua Pesa kwa Mhingi Singasingasinga wa IPTL , Lusinde asipuuzwe hivi na yeye ana Ujumbe ingawa hakuupangilia vyema.
 
Lusinde alikuwa mengi mazuri tu, tatizo ilikuwa ni mpangilio ule uongeaji wake ni wa kasi sana na ulijaa vichekesho na madongo lakini wengi wameamua kumhukumu baada ya kuona mwishoni alimtetea sana Pinda asiwajibishwe.kinyume na hapo Lusinde naye si wa kupuuzwa hivi kwani inaelekea anajua vyema michezo yote inavyokwenda juu ya sakata hili la escrow.
 
Jamaa hajielewi

Lusinde japo anaongea Kama cherehani lakini kupitia Comedy zake kuna Ujumbe ulikuwemo Mfano pale kwenye makundi manne 1-wanataka Urais 2-waliopewa Mgao 3-waliokosa mgao 4-mabenk , Haya makundi kila moja Lina watu wake kwenye Hilo sakata la escrow,Pia kumbe Zito alikuwa akichepuka na kwenda kuchukua Pesa kwa Mhingi Singasingasinga wa IPTL , Lusinde asipuuzwe hivi na yeye ana Ujumbe ingawa hakuupangilia vyema.
 
Kwa maneno yake yule jamaa napata wasiwasi anawezakuwa ni bwabwa
yule jamaa ashki x2 somebody chano na yule mama wa shule ya msingi mi ndiyo walinikera saana ,they are garbages,,,mi naona lusinde kwa elimu yake amajitahidi saana, tatizo lake ni yale mambo yake ya kukera wenziwe ila pia wengine walikuwa wanamchokoza kwa kuingilia speech yake.
 
Uyu jamaa jembe sema mnamshambulia kwa vile yuko ccm.

Tujiulize uyu jama na GODBLESS LEMA nani anaongea points.

Kilichowakela watu ameongea kwa hisia zake sio kama wabunge wanaopewa HELA na kulishwa maneno na wafanyabiashara.

Nimempenda sanaaa LUSINDE Jana.
 
Yani kalinikera kweli kalikua kanaongea utadhani ni ka MC ka vigodoro lol shule ndogo kweli na bado kakata kuudanganya umma eti hakuna Haramu kwenye ndoa na kakatoa tafsiri ya uongo kwani tafsiri halisi ya halichokiongea kiarabu ni " Mwanaume atakua msimamizi au kiongoz wa mwanke" sasa sijui kalikua kanamdanya nani? kakaongea pumba na maneno ya shombo mara ntakupa MAKAVU we NASSARI nini maana ya makavu? mbona ata ss lugha za mateja tunazijua lakini BUNGENI hazifai mara huyo aliniomba ila huo mchezo mie sifanyagi BULL SHIT ndo tukuone wa maana au punguani? CCM ijaribu kuweka wabunge wenye akili na sio type hii

Kabla ya kuwa katibu wa ccm wa wilaya alikuwa MC WA KWENYE MAHARUSI DODOMA.
 
Huyu Le mutuz angekua kidogo ana akili ndo alikua wa kumuondoa huyu kenge aliempokonya baba yake ubunge lakini Le u know nae akili yake ni sawa na huyu huyu Lusinde..Wagogo ni shiiiideeeeer!
 
Back
Top Bottom