Yani lusinde ni zaidi ya stupid, nashangaa hata hao wananchi wa ludewa kazi anayo
Yani kalinikera kweli kalikua kanaongea utadhani ni ka MC ka vigodoro lol shule ndogo kweli na bado kakata kuudanganya umma eti hakuna Haramu kwenye ndoa na kakatoa tafsiri ya uongo kwani tafsiri halisi ya halichokiongea kiarabu ni " Mwanaume atakua msimamizi au kiongoz wa mwanke" sasa sijui kalikua kanamdanya nani? kakaongea pumba na maneno ya shombo mara ntakupa MAKAVU we NASSARI nini maana ya makavu? mbona ata ss lugha za mateja tunazijua lakini BUNGENI hazifai mara huyo aliniomba ila huo mchezo mie sifanyagi BULL SHIT ndo tukuone wa maana au punguani? CCM ijaribu kuweka wabunge wenye akili na sio type hii
mkewe ana kazi.
hivi amefika level gani ya elmu?
Mtera sio Ludewa...
Anakotokea Lusinde ndipo anapotokea Le Mutuzzzz sasa pata picha hao wananchi wa huko...
darasa la saba kwa sababu bahati mbaya baba yake mzazi alifariki...
Darasa la saba, hapana ameishia la sita.,nilipata kukutana na mwalimu wake wa shule ya msingi Mbigiri alinidokeza.
Shule ipo Kijiji cha Mbigiri, kata ya Magole wilaya ya Kilosa..Kijiji kipo jirani na Dakawa High School.
Hakumaliza hata darasa la saba,ukitaka zaidi ni pm
Sio kuchambana mkuu, huyu anamchamba mkewe!Majibizano ya kimipasho na kuchambana ha ha ha...
Hahah mkuu sasa hili jipya...
Hiyo sentensi yangu nilinukuu alichokitamka bungeni wakati akitoa mipasho...
jamani kigezo cha elimu ya juu kwa mbunge sio lazima ila ni muhimu kwelidarasa la saba kwa sababu bahati mbaya baba yake mzazi alifariki...