Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
Gerrard ana EPL ngapi Liverpool?Probably hukuwai kuwaona prime Gerrard na Daglish wakicheza hivyo upo sahihi umemtazama zaidi prime Salah.
We are lucky enough kuwa na Hawa legends Liverpool...
Cherish the happy times they brought us🔥🔥🔥
YNWA
Jamaa limetutapeli pamoja na kocha wake[🟢] MAJOR BREAKING: Michael Edwards has quit his role as chief executive officer of football for Fenway Sports Group, which owns Liverpool, leaving the club facing a period of unwanted executive upheaval.
[@_pauljoyce]
Saint Anne , Tapeli huyu hapa kaacha kazi 🤣
Kajamaa kalikuwa kafujaji kahela na ndio maana mwaka 2022 kalishindwana na Klopp, kalipptangazwa na FSG kanarudi Klopp akaona yanini malumbano?Jamaa limetutapeli pamoja na kocha wake
Jamaa limemfukuza Kocha wetu Klopp,aliyeitoa hii timu matopeni..
Likatuletea kocha tapeli amerudisha timu matopeni na amefukuza wachezaji wazalendo wote kama TAA na Mo Salah.
Walaaniwe sana Hawa matapeli.
Sasahivi hii Thread ntakuwa namsikiliza King Ngwaba pekeyake.
Captain Marvelous sina hamu tena na stori zake alivyokuwa anampamba hilo tapeli Edwards, huku akimkandia Klopp.
Yakawaroga matajiri wakamfukuza Klopp
Wakaamini matapeli na kuwamwagia hela zote ambazo hawajawahi kumpa Klopp.
Bobby alikuja akakapiga nakshi na kiingereza chake kileKajamaa kalikuwa kafujaji kahela na ndio maana mwaka 2022 kalishindwana na Klopp, kalipptangazwa na FSG kanarudi Klopp akaona yanini malumbano?
Mitapeli hii ilishajipanga kutapeli timuEdwards Comes in
Hughes Comes in
Slot Comes in
Signs £500m worth of players
Slot Sacked
Hughes Departing to Saudi
Edwards Steps down
What a mess.
One hapa Saint Anne wapuuzi walivypigq ela, Slot wakamfukuza, Hughes na yeye anaondoka na Edwards leo anaondoka baada ya kupiga mihela