Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Hata miaka 10 nilikuwa sijafika BadoππππView attachment 3596433
21 years ago Captain Fantastic and his crew under Benitez made the impossible to be possible π€ π€ π€ π€
Hivi Saint Anne hii gemu ulitazama kweliπ€π€
YNWA
Robo haniumi
ππππππFSG wana imani kubwa sana na Kichwa mviringo hivyo tuwe wapole tu next season kama kuna maumivu tujipange kuyazoea
Saka na Madueke waendelee kumpa wakati mgumu na huko pia.
On his prime he was a beast.....age is not just a number....Saka na Madueke waendelee kumpa wakati mgumu na huko pia.
Salah kipengele hawezi kukaa benchi na atulie ni pale moyo unataka Mwili unagoma......amekua mtumishi mwema wakati wote alipotufikisha inatosha wengine waanzie alipoishia.Robo haniumi
Salah ananiuma sana kuondoka
Yaani nazidi kupatwa na hasira na hilo kocha tapeli π¬π¬
ππππππMiss Liverpool na Gerrard wake all time favourite, boy was Liverpool made, never say die attitude.Hata miaka 10 nilikuwa sijafika Badoππππ
Nilikuwa naangalia ila nilikuwa sielewi chochote
Mi ni kushabikia tu Liverpool na Gerrard.
Ila Slot kajua kutumaliza Jamani πππ