Sahivi sina vijana hii timu
Kijana wangu Salah anaondoka.
Hii timu sasahivi mimi hapana,,nina stress tayari,, siwezi ruhusu Liverpool iniongezee stress.
Mijitu ipo tu haimtoi huyo kocha ili sisi tuendelee kuteseka.
Tunajipanga upya msimu ujaoHawa jamaa wamemuachia jukwaa Saint Anne awapambanie
Timu yenye gundu miaka zaidi ya 20Salah kwenye mpira hawezi kuitwa kijana tena.
Achana nae na achana na hiyo timu. Hebu icheki ile timu kubwa iitwayo Arsenal. Nasikia wanakaribia kuwa mabingwa wale jamaa. Hamia kule uishi maisha ya raha mustache yasiyo na stress ndogo ndogo.
Hongereni BwanaVipi mambo humu?
Tunasubiri mechi za Jumapili tujue bingwa wa EPL atakuwa nani au tayari bingwa ameshapatikana?
MkapaTimu yenye gundu miaka zaidi ya 20
Timu ilichukua EPL wakati hapa Tanzania Rais ni kikwete
Kama ngekewa tu kupataπ
Ndio nihamie huku kweli?,π
Hilo suala limebaki stori kama Rich Mavoko.Timu yenye gundu miaka zaidi ya 20
Timu ilichukua EPL wakati hapa Tanzania Rais ni kikwete
Kama ngekewa tu kupataπ
Ndio nihamie huku kweli?,π
Vitu vidogo kama EPL vinawatoa jashoHilo suala limebaki stori kama Rich Mavoko.
Kwenda mbele ni mwendo wa kukusanya mataji kama zambarau vile.
Aisee, acha kabisa. Tukibeba UEFA, viwanda vyote, baa zote na vibanda vyote vya maji ya kienyeji havitatutosha wanaGunners. Mashamba yote ya mmea takatifu hayatutosha wanaGunners.Vitu vidogo kama EPL vinawatoa jasho
UEFA je,
Hakuna timu humo
Hawa msimu ujao lolote liwakute....ikiwezekana wamalize nafasi ya nane huko wakacheze conference league kabisaJe, msimu ujao mtaweza kununua wachezaji wa bei mbaya au mtabana matumizi?
Najua mlitumia pesa nyingi kununua wachezaji wapya msimu huu lakini mlipata nyingi pia kwenye mauzo ya wachezaji wengine?
Au pesa za UCL msimu huu pamoja na kumaliza nafasi za kuingia UCL msimu ujao zitawatosha kushindana na akina ManCheaty na Chelkenge sokoni?
Nawapa hongera baada ya miaka 22 hatimae mmepata ubingwa wa EPL.Vipi mambo humu?
Tunasubiri mechi za Jumapili tujue bingwa wa EPL atakuwa nani au tayari bingwa ameshapatikana?
Tumeshajijua ndugu yaani hakuna noma kutesa kwa zamu...Hawa msimu ujao lolote liwakute....ikiwezekana wamalize nafasi ya nane huko wakacheze conference league kabisa
Huu mchezo hautaki hasira na sana sana ukiwa na wamiliki dizaini ya FSG....tuwe wapole kwa sasa hatuna namna tukumbali matokeo.Kmmke Slot
Ni kweli Hilo la timu nyingi kukua kimkakati uwanjani ni mia kwa mia.Wanetu kazi mnayo. Ila Klopp akirudi mnashuka daraja, this guy alishadeclare kwamba nguvu za EPL zinamuisha. Also, technically, timu nyingi zimeendelea kwa sasa.
Hambebi msimu huuπAisee, acha kabisa. Tukibeba UEFA, viwanda vyote, baa zote na vibanda vyote vya maji ya kienyeji havitatutosha wanaGunners. Mashamba yote ya mmea takatifu hayatutosha wanaGunners.