Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

The MoNA
Njoo umsaidie Kaka yako kumpamba kocha wenu Kipara
 
The numbers behind Arne Slot’s Liverpool transition

Mabadiliko ya kiufundi (tactical evolution) ya Liverpool chini ya Arne Slot yamekuwa miongoni mwa mambo yanayochambuliwa sana kwenye Premier League kwa miezi 12 iliyopita.

Baada ya karibu muongo mmoja chini ya Jurgen Klopp enzi zilizotawaliwa na relentless pressing, high tempo na emotional football Slot alirithi sio kikosi tu, bali identity nzima ya klabu. Kazi yake haikuwa kufuta alichokijenga Klopp, bali kukibadilisha kwa hatua.
Na mabadiliko hayo yalizaa matunda mapema.

Liverpool walitwaa ubingwa wa Premier League msimu wake wa kwanza, ishara kuwa mwelekeo mpya wa control-based football ulikuwa sahihi.

Intensity imepungua kidogo, lakini ambition ipo pale pale

Takwimu zinaonyesha wazi:
Pressing bado ipo, lakini sasa ni selective na situational, sio ya kukimbizana dakika 90.

Direct attacks zimepungua; badala yake kuna structured build-up na longer possession phases.

PPDA inaonyesha Liverpool sasa wanapress kwa akili zaidi na kulinda maeneo ya kati (central zones) kabla ya kushambulia mpira.

Hii imeifanya timu iwe na territorial control bora zaidi, hasa dhidi ya timu zinazocheza low block.

Defensive structure: kuna maendeleo, lakini…

Kwenye open play,
Liverpool wanaonekana more compact na organised kuliko miaka ya mwisho ya Klopp.

Lakini hadi sasa

* Idadi ya magoli waliyofungwa imeongezeka.

* Sehemu kubwa ya magoli hayo yametokana na set-pieces na second balls, hii haina maana mfumo umevunjika

* Injuries na rotation kwenye safu ya ulinzi zimeathiri consistency, hasa maeneo ya pembeni.

Hapa ndipo mashabiki wengi wanachanganyikiwa:

Performance inaonyesha control, lakini matokeo wakati mwingine yanaonekana harsh.

Attack: efficiency kuliko chaos

Kwenye ushambuliaji:

* Liverpool bado ni moja ya timu zinazotengeneza quality chances nyingi.

* Shots nyingi zinatoka ndani ya box, hasa maeneo ya kati.

* Timu inaendelea kufunga karibu kila mechi consistency ya kushambulia bado ipo.

Changamoto ya 2025/26 imekuwa finishing consistency kuna mechi Liverpool wanatawala lakini hawamalizi mapema.

Currently reality check

Hadi sasa :

* Direction ya Slot iko wazi.

* Mabadiliko ya kimfumo yanaonekana.

Lakini hayajafikia katika hatua za timu inayoutaka ubingwa.

Kipigo dhidi ya Manchester City hakikuwa collapse, bali ilikuwa ni stress test kimeonyesha maeneo ambayo Slot bado anahitaji kuyarekebisha, hasa:

  • defending under sustained pressure
  • set-piece organisation ( inawezekana ikawa ni sababu ya Kocha wa set pieces kuondoka πŸ˜‚)

Takwimu hazionyeshi kuporomoka, zinaonyesha adaptation.

Lakini Verdict ya mwisho itatolewa na trophies.

YNWA ❀️⚽
 
Mid table teams zimekua hazina adabu.

Oohh mimi jogoo la London kula chuma hicho.
Ooh nina beki ukitaka kufunga anakugeuzia matako watu wanaweka tu.

Ukijisahau unashangaa dakika tisini hizi hapa na kocha wenu anaenda kulalamika hajatajiwa kikosi siku nne kabla ya mechi
 
Round ya 2 Epl inakuwaga ngumu sana SLOT sidhani kama atashinda mechi yoyote akijitahidi sana draw,mechi ijayo na arsenal pale emirate ndio itakuwa aibu maana 4 bila zitatuhusu .hana uwezo wa kushinda mechi Nyumbani na ugenini, Akiwa ugenini ndio hawezi kabisa na round ya 2 ndio hawezi kabisa.

round ya pili hapo hawezi toboa atafukuzwa tu.

# in SLOT we trust
#You will never walk alone SLOT
 
Maresca
Amorim
Next slot
 
Nimeacha kuangalia mpira kwa ujinga wake
Yaani ananikera yule Baba jamaniπŸ’”πŸ™ŒπŸ½
Mi nilisema mara mia kocha angekuwa hata Gerrard
Na mimi naenda kumsusia li timu lake! Timu haiwezi ku-defend dakika za mwisho? Mpuuzi huyu jamaa hata hajui kufungua timu zinazopaki semi! Klopp angekuwa na hiki kikosi tungekuwa tunatabasamu tu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…