Angalia hapo chart inasomaje ..๐๐๐๐ bado kidogo kufika kileleni paleeKwenye msimamo mpo nafasi ya ngapi? ๐คฃ, pia kwa sasa nyie si mpo Europa league na sisi tupo Eufa au?
Kilele kipi au unamaanisha Climax au Orgasm? Fafanua kijana.Angalia hapo chart inasomaje ..๐๐๐๐ bado kidogo kufika kileleni palee
Ndoto zake ndio zinatimia vzr๐TAA wanampga tu benchi huko ๐คฃ
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Eti ndoto zake ndio zinatimia vzur ๐คฃ๐คฃNdoto zake ndio zinatimia vzr๐
Liva mnaitwa kwenye jukwaa lenu huku ๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Eti ndoto zake ndio zinatimia vzur ๐คฃ๐คฃ
Mitano tena slotiHivi kocha wa kufundisha Feyenood ndio aifundishe Liverpool fsg walijifikiria nn?
Juzi kawafunga Rear Madrid sheh๐๐๐Hivi kocha wa kufundisha Feyenood ndio aifundishe Liverpool fsg walijifikiria nn?
Leo mmemgeuka !alimpiga Rear Madrid,mkaanza kuruka sarakasi humu ๐๐๐Bichwa mviringo bhana ๐คฃ๐คฃ
Sad....TAA wanampga tu benchi huko ๐คฃ
Kocha ksifundishs feyenoid na kabeba epl unataka kocha yupi tofauti na huyu?Hivi kocha wa kufundisha Feyenood ndio aifundishe Liverpool fsg walijifikiria nn?
Pep atachukuwa hili lidude mtaani kelele zitakuwa ndogo sisi wengine team zetu zijipange ,tuwe watulivu mkuuHuyu kichwa kontena anatuaibisha mpaka kwa wake zetu! Leo wife kakataa kuifua Jezi yangu ya Liverpool ๐ฎ๐ฎ