Mkenye Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 218
- 410
Naona hakuna ata mmoja anayechezea liverpool kwa sasa aliyeitwa England, ata hivo waingereza pale Liver ni Jones, Gomes na Elliot pekeeThus why he isn't mentioned in england squad for worldcup preparation
Hili dili linacheleweshwa sana, alitakiwa awepo ili kesho Arsenane waumie
Tunatumia za Countinho, za msimu uliopita na za msimu huuhela mmepata wapi aisee
noma sanaTunatumia za Countinho, za msimu uliopita na za msimu huu
Deal done au?Huyu Isak kama vipi kesho acheze bila hata zoezi
Jamaa anaubonda bila kelele
Arsenol akikutangulia kuchomoa kazi mno maana wana defence ngumu wno pale plLeo Mabeki hasa Konate wakaze basi japo kidogo wasije kufanya ule ujinga wao.
Yaani games 3 (vs. Palace, Bournemouth na Newcastle) tume-concede magoli 6? Hii haikubaliki kabisa kuruhusu magoli mawili kila mechi.
Leo tukiruhusu magoli mawili basi mechi itakuwa ngumu.
Havertz na Saka wote hawachezi hii game 100%Dondoo za Leo kuna uwezekano mkubwa sana BUKAYO SAKA asicheze game tano zijazo ikianzia game ya leo hii ni kutokana na majeraha ya hamstring.
Kuhusu MARTIN ØDEGAARD anaweza akapata dakika chache zaidi tofauti na ilivo tegemewa sambamba na hayo pia KAI Havertz anaweza cheza 2nd half pekee sababu ya ile surgery ndogo ya mguu
Sisi kama LIVERPOOL
Arsenal wana Eze kulingana na ripoti — mchezaji mwenye ufanisi mkubwa wa counter-attack. Liverpool lazima ilinde mpira haraka na ushirikiano kati ya kiungo wa kushoto na beki wa upande kushoto ili kuzuia uharibifu.
Huyu jamaa ni mchezaji anatizamwa zaidi kwa siku ya leo so we have to be in touch with him as a player.
Game ya leo mbona laini sana kwetu hii mkuuLeo Mabeki hasa Konate wakaze basi japo kidogo wasije kufanya ule ujinga wao.
Yaani games 3 (vs. Palace, Bournemouth na Newcastle) tume-concede magoli 6? Hii haikubaliki kabisa kuruhusu magoli mawili kila mechi.
Leo tukiruhusu magoli mawili basi mechi itakuwa ngumu.
Bila shaka..Havertz na Saka wote hawachezi hii game 100%
Timu yetu inaweza kuzuia set pieces kwa ufanisi?Bila shaka..
Kwanini tusishinde sasa