Unaongea kwa hasira kama umeshikwa apple.Nyie takataka za kuruhusu goli mbili kila mechi
Jumapili hizo mbili mtaruhusu kama kawaida yenu
Ila hilo moja la kufunga mtalitafuta
Takataka nyinyi
Beki ibu konate anakaba na mikono
Shukuruni marefa wapo upande wenu ila hiyo takataka ingekuwa inacheza wiki moja uwanjani mechi tatu nje nyekundu
Mechi 12 majeruhi
ππUnaongea kwa hasira kama umeshikwa apple.
Ni mzuri lakini kwenye suala la kuitendea haki namba 8 mhm hapana bado kabisaJamaa ni kilaka wa timu popote yupo hata false 9 aliwai chezea. Hii jezi Namba 8 anaitendea hakika.
YNWA
Milioni 4 ni nyingi labda milion moja inawatoshaπ¨ | Kwa mujibu wa taarifa, Chelsea imepanga kuifata Liverpool kuidai kiasi cha pesa kwa kumchukua bure nyota kinda Rio Ngumoha ambaye usiku wa Jumatatu alifunga goli la ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Newcastle.
Taarifa inasema kwa kuwa nyota huyo hakuwa na mkataba wa mchezaji wa kulipwa sababu hakuwa amefikisha umri wa kupewa mkataba huo lakini baadae akajiunga na Liverpool na kuiacha Chelsea ikiwa imehuzunishwa na kuondoka kwake kwa kuwa tayari alishaanza kufanya mazoezi na timu ya wakubwa, Chelsea inaona kuna haki inaweza kupata kwa kulipwa walau pesa kidogo kwa kumkuza nyota huyo.
Dau la paundi milioni 4 linatajwa linaweza kutumika kulipwa Chelsea
Sisi tuna wazungu kutoka Oxford!Kops mnachambua vizuri .. shida vi english vingi mpaka wengine hatuelewi .
Huwa kuna sababu ya sisi kudrop off, mostly huwa ni ufinyu wa kikosi, kwa sasa unaona hatuna Saka, harvertz, Γ & Jesus lakini huoni mtu anacomplain, round hii tunachukua 6 points kutoka kwenu, mkijitahidi sana tunachukua 4.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenal hamjawai kua na changamoto mzunguko wa kwanza wa Ligi ... nyie hua ni pale mwezi wa pili mpaka wa Tano ndio hua mnapata sana shinda..ngoja tuone msimu huu hamna pa kujificha Arteta kapewa wachezaji mapema aliowataka kuimarisha kikosi.
YNWA
[emoji599] ππππ‘πͺπ¨ππ«π! Marc Guehi is expected to complete his move to Liverpool after Crystal Palace's Conference League tie tomorrow against Fredrikstad.
[emoji599] The FA Cup winners have been holding out for a sizeable fee for Guehi all summer, who has entered the final year of his contract at Selhurst Park.
[emoji599] Guehi has agreed personal terms with Liverpool and will bolster Arne Slot's defence, who have looked shaky at the back so far this season.View attachment 3455365
If we love their football, then why donβt we use their language?Kops mnachambua vizuri .. shida vi english vingi mpaka wengine hatuelewi .
Ishu za majeruhi na dharura zipo kote Cha msingi ni consistency ya matokeo safi pointi 3..... Kimsingi hata nyie mkitazama hii misimu mitatu iliyopita hamjaamini kukosa ubingwa hata mara 1 ni dalili kwamba bado mna mapungufu na hili dirisha mmefanya biashara mapema na bado mko sokoni kuweka mambo sawa ili EPL itue Emirates π€ π€.....Huwa kuna sababu ya sisi kudrop off, mostly huwa ni ufinyu wa kikosi, kwa sasa unaona hatuna Saka, harvertz, Γ & Jesus lakini huoni mtu anacomplain, round hii tunachukua 6 points kutoka kwenu, mkijitahidi sana tunachukua 4.