Hizo sababu hazitakosekana maana marefa na PGMOL na FA kila mtu anajua wanatuchukia. Sisi mpango wetu ni ule ule wa kila msimu, kufunga kila timu japo tunaonewa.Mwisho wa msimu zile sababu zenu za kuwa hamupendwi na marefa, sijui mara Liverpool inabebwa, mara munahujumiwa n.k. tusije kuzisikia.
Endeleeni kukaa juu ya Mpapai
Ndio hivyo ndugu yangu hakuna namna ... you gain one you lose one.Umeshaanza kujiandaa kisaikolojia
Duh ule msimu dogo alikua moto sana yaani hakupoa kabisa nakumbuka Anfiled palikua fortress kabisa hatukufungika.... Lile jeraha hajawai kurejea tena kwenye ule ubora.2015/16 ACL ilirudisha nyuma career yake
Lakini 2020/21 Patella tendon ligament ndiyo ikauwa kabisa career ya Gomez. Huu msimu alikuwa bonge moja la beki akishirikiana na VVD ilikuwa kila game ni Cleansheet kabla ya kuumia.
Kipara Rooney alikua mtu na nusu .... Hapa ni consistent ya kufunga angalau Kila msimu goli 20+ ndio zimekuweka mfungaji Bora wa pili.Katika 8 za Liverpool
4 - Salah
2 - Owen
1 - Suarez
1 - Mane
Katika 6 za Arsenal
4 - Henry
1 - Van Persi
1 - Aubemyang
Katika 5 za Man United
1 - York
1 - Nelstroy
1 - Ronaldo
1 - Babertov
1 - Van Persi
Huwezi amini Rooney ni Mfungaji bora wa pili wa muda wote ndani ya EPL lakini hajawahi kushinda Golden boot.
Wako vizuriUmewachukuliaje spurs?
Hivi hakuna plan B ya Isak na Guèhi?Football Transfer Watch
Marc Guehi:
Crystal Palace are currently playing their Conference League qualification games. First leg is done – won it 1-0. Second leg on Aug 28. Once they secure qualification, Palace should seriously consider selling Guehi to Liverpool.
Chances: 99% 🔥
Alexander Isak:
Newcastle haven’t found a proper replacement for Isak yet and have been showing some urgency in recent days. Things should pick up pace next week, and after their game against Liverpool is done, they should consider letting Isak go.
Chances: 75% ⚡
Summary: Guehi almost certain for a move to Liverpool, while Isak’s transfer is still likely but not guaranteed.
Gomez na bradley hawachezi coz hawana ile complete fitness atacheza SZOBO.Gomez ✅✅✅ .
ACL noma sanaa
YNWA
Kama wakipewa ishara✅ na madokta wacheze ina maana huko mazoezini wanaridisha. Ishu hapa tupo ugenini na hili swala la Isak litawaamsha haswa Hawa Magpies yaani itakua full cracker mwanzo mwisho hivyo hawa watazamwe upya kabla ya kupewa dakika.Gomez na bradley hawachezi coz hawana ile complete fitness atacheza SZOBO.
Ila kocha wa viungo na yule wa mfumo wamejadili wakasema bora wacheze 45 45 minutes for both yani Gomez 45 na Bradley atokee sub
Ila possibilities kubwa ni Szobo
Money spent alone this summer ain't enough mate... Remember when Klopp joined and asked how long til he get EPL trophy at Liverpool and he was on point it's gonna take 4 years.. Manchester United player acquisition for the last 9 years is pure joke man.All that money spent in the summer and Manchester United kick off their Premier League season with one point from two games 😬
Msimu mzuri sana kwa Gomez, ni ule wa 2018/2019. 1st round ya ligi kwenye mechi kama ya 15/16 hivi, aliumia December mwanzoni hivi, fractured leg , ilikuwa vs Burnley. Mpaka anaumia tulikuwa tumeruhusu goli 4/5 hivi. Ilikuwa partnership nzuri sana. Alipoumia hakurejea kwenye ubora. Kidogo msimu wa mwisho wa Klopp (2023/2024) alicheza vizuri sana akiwa kiraka with injury free. Akaumia na hali imeendelea hivyo kumtafuna.2015/16 ACL ilirudisha nyuma career yake
Lakini 2020/21 Patella tendon ligament ndiyo ikauwa kabisa career ya Gomez. Huu msimu alikuwa bonge moja la beki akishirikiana na VVD ilikuwa kila game ni Cleansheet kabla ya kuumia.
Isak was a plan Ekitike wasn't, nafikiri hatukumfuatilia for long compare to Isak. Jota's death imeharibu mipango mingi. Hopefully Nunez was to be sold , ila Jota kulikuwa na mpango wa kukaa mezani.Hivi hakuna plan B ya Isak na Guèhi?
YNWA
Nunez alipo anatupia tu aisee he is enjoying life man he deserve it's....Isak was a plan Ekitike wasn't, nafikiri hatukumfuatilia for long compare to Isak. Jota's death imeharibu mipango mingi. Hopefully Nunez was to be sold , ila Jota kulikuwa na mpango wa kukaa mezani.
Sidhani kama tu files nyingi za CB na quality kuipata ni ngumu. Guehi was our priority.
Ynwa.