Haka Kasomali kameifia timu kwa kweli! Hebu wakasaidie!
Wee waache watajuta kukafahamu! Hivi kwa mfano kakigoma hata kufunga goli inakuwaje?Ikifika mahala kama hapa hua lazima mmoja akumbali yaishe na muda mwingi hua ni Klabu maana Haina maana kua na mchezaji kikosini ambae hana furaha kuwepo yaani Mwili upo lakini akili hazimo kabisa.
YNWA
Kapendeza Salah tu
Kila nikilumbuka Jota amekufa naishiwa PawaView attachment 3447292
View attachment 3447291
Just we say thanks for Diogo touching so many fans left and right...
For the love of the game๐ฅ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟmay He Rest In Peace.
YNWA
Yaani enjoi maisha ungali na uhai maana hujui wakati ni lini ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟKila nikilumbuka Jota amekufa naishiwa Pawa
Ndio mtoko huo๐๐๐Kapendeza Salah tu
Salah amekaa kifather ndani ya suti๐ฅ
Haka Kasomali kameifia timu kwa kweli! Hebu wakasaidie!
Acheni uoga mtoto wa kiume show show๐ถ๐ถHivi mijusi hawawezi wakamfanyia uhuni wasimuuze then akala benchi msimu mzima, au wakamuuza kwnye timu nyingine ila si liva?