Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Good bila kiatu?π€£π€£π€£π€£π€£ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»Good morning Miss Liverpool
YNWA
Nasubiri Sasa na raba ile ili niwe namatchishaπ€π€π€π€π€ Addidas hua wako powaaa sanaaa kwenye haya mamboz.
YNWA
Kwahiyo wewe ulichopost ni mbele na nyuma tu ππππUkianzia mbele au nyuma, jina na namba ya jezi hakuna kinachobadika.View attachment 3432328
Ana bahati flani, Palindrome kwa jina na number ya jezi π πUkianzia mbele au nyuma, jina na namba ya jezi hakuna kinachobadika.View attachment 3432328
EPL ataingia kama home grown lakin pia EPL bado hatujapaleke listii mpaka dirisha lifungwe.
Tazama hapa ππΏ ππΏ ππΏ ππΏ
View attachment 3431914
Dogo anaingia kundi la chini ya umri wa miaka 21 na pia ni home grown .
Absolutely π― i got u Fam nimekupata vizuri sanaEPL ataingia kama home grown lakin pia EPL bado hatujapaleke listii mpaka dirisha lifungwe.
Tazama hapa ππΏ ππΏ ππΏ ππΏ
View attachment 3431914
Dogo anaingia kundi la chini ya umri wa miaka 21 na pia ni home grown .
YNWA