Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
πππππHivi pale kwa Madueke mmeona nini aisee je atakua upgrade ya waliopo maana hua naona hana maajabu ki vilee ....Style yao mpya ni kunyakua kila mchezaji mzuri wanaoweza kumpata. Mambo ya kupanga kikosi yanafuata baada ya hapo.
Halafu baadae wanatupiga kwa kutupa kina Sterling na Madueke na kutupooza kwa kutupa Kepa kwa bei ya vitunguu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sheikh John W HenryNyie mnatoa wapi mshiko wa kuwanunua Wirtz, Ekitike, Frimpong na Isak?
Kumbe Fenway wana mihela kibao tu sema walikuwa hawana haja ya kuitumia mpaka waonje ubingwa?
Tajiri kaamua kuwa mwarabuHamjatosheka na Ekitike bado mnataka muongeze na Isak. Wazee kwan mna ugomvi au bifu na vitimu vya Arsenal na Manyumbu?
Aiseee Mimi ni Bariadi A boy from Ntuzuland πoooh nimekupata mkuu tunatoka kanda moja
Hamjatosheka na Ekitike bado mnataka muongeze na Isak. Wazee kwan mna ugomvi au bifu na vitimu vya Arsenal na Manyumbu?
Hii mitindo ya nywele kuna mpira kweli humo?View attachment 3418474
View attachment 3418475
View attachment 3418476
View attachment 3418477
View attachment 3418478
Saint Anne unakwama wapi aisee.π«£π«£π«£π«£π«£π«£π
YNWA
π€£π€£π€£π€£Chini ya Slot kitaeleweka.Hii mitindo ya nywele kuna mpira kweli humo?