Hiyo mieleka hapana kwa kweliUshawahi kuangalia UFC Ile ndio kula kwla Kwa jasho 🤣🤣🤣
Robertson ni mtu wa watu sanaaa.Salah na Robertson wanaonekana ni washikaji sana.
Robertson ni mtu wa kila mtu pale AXASalah na Robertson wanaonekana ni washikaji sana.
🤣🤣🤣😄😄😄😄 Klopp kampa dogo platform ya utajiri haonekani hapo hii imekaa aje.Mo Salah: "I am the GOAT African footballer. But there are many others. I could mention Weah, Drogba or Eto'o. Eden Hazard is the best I played with, even though I wasn’t at my peak at Chelsea. I would also love to have played with Steven Gerrard & Thierry Henry. Spalletti is the best coach I had"
Pre season will be key to make him comfortable with the team demand and set up..[🚨] NEW: Hugo Ekitike has been signed by Liverpool FC as a 9. He can play alone or with a strike partner. His versatility in attack was key for Arne Slot.
[@markmcadamtv]
Kama kamenyoa na magoli yaje mbona fresh kabisa...hatutaki fashion show tunataka UCL na 21st EPL trophyHuyu kinyozi aonyeshe sura yake akamatwe aisee
Kutuharibia mtoto wetu
Miguu yake haina uhusiano wowote na nyweleKama kamenyoa na magoli yaje mbona fresh kabisa...hatutaki fashion show tunataka UCL na 21st EPL trophy
YNWA
Mnauhakika huyu sio Erick Omondi?! Hatutaki lawama badae.
Hapana ndugu ni upcoming lethal number 9 wetu.Mnauhakika huyu sio Erick Omondi?! Hatutaki lawama badae.
tutafanyaje ndugu yangu,japo ata mimi pamoja na sajili zote ila DM tungekua tumemaliza kila kitu..tukizingua pale kati sitajali usajil walio fanya ntamind sana kocha maana tatizo analijua vizur sanaKwahiyo tumekubaliana kwenda na Grav kama 6 yetu msimu ujao au bado mnasajili?
Maana nakumbuka kama isingekuwa kubeba kombe la EPL, lawama zote zingekuwa kwenye mapungufu ya hiyo nafasi.
Tukubaliane kabisa ili msimu ukianza tusione malalamiko kwa Edwards au Slot.