Nunez miwili tena jamani pale Anfield! Kwa hiki alichokifanya kwa Jota kitoshe kumwongezea mkataba aisee!Kabisa ndugu dogo ni zaidi ya mchezaji no wonder wanaohudhuria mechi Anfiled hua wanasimama nae iwe mvua iwe jua wapo nao mbega kwa mbega.
Napoli naona washamuuzia project yao chini ya Conte na ameafiki kwamba Liverpool iwasikilize ngoja tuone itakua aje.
YNWA
Safari ndefu barabarani ni risk mnoBarabarani napo kuna raha zake! Hebu fikria hiyo your ya kutoka Kaskazini mpaka kusini halafu ukavuke na kivuko kwenda nchi nyingine! Lilikuwa bonge la tour, sema sasa vijana wetu wanavyokanyaga mafuta, safari ya saa 8 anataka aifanye iwe ta saa 5! RIP Jota! Dogo nilikuwa nampenda sana!
Mitano βπtena kwakeNunez miwili tena jamani pale Anfield! Kwa hiki alichokifanya kwa Jota kitoshe kumwongezea mkataba aisee!
Yaani mwenzio afe,Hujanielewa namaanisha kuwa mnamlaumu as if ilikua ni lazima yeye awepo,kutokwenda kwake kwnye huo msiba ni dhambi, ile ya kumtafuta baba yake ilikua ni ubinadamu tu kama mchezaji mwenzie pengine hawakua hata na huo ukaribu.
Halafu pia tunatofautiana pia kimtazamo. Pengine alikua anahitajika sehemu mbili kw wakati mmja akaopt kwenda kw hiyo party ambae ndio mtu wake wa karibu zaid.Sio dhambi.
Tunafanya kazi maofisini huko mfanyakaz anafariki wengine hata hawafiki ila sisi tuliokwepo tunawakilisha fresh na wala hatushikilii bango mbona flani hajahudhuria, kaenda kwenye shuhuli ya mdogo wake wa damu anaolewa. Hata kama ameenda kwnye party hiyo ndio ilikua y muhimu kwake then siku nyingine ataenda kwnye kaburi. Ndio maisha yalivyo kila mtu kuna namna anayaendesha maisha yake na katu hatuwezi fanana.
Mimi ni fundi msusiππππππWalahi wewe ungemtia mkasi
YNWA
Kuna jamii, Legend hapaswi kuliliwa wala kuonesha nyuso za huzuni. Kunywa, cheza, ruka, kesha ukisifu makuu ya huyo marehemu. Hii ni kwa Imani kuwa, aliyeishi Utu kabla ya kifo chake, hatapenda kuona watu wakiumia sababu yake. Hivyo kumtia moyo katika safari yake Furaha yenu juu ya matendo yake humrahisishia safari yake, asione kuwa ameacha deni nyuma.Yaani hajamzika bado na wenzie wapo kuzika
Yeye akatengeneze party kumuenzi na mwili bado ulikuwa haujazikwa ndio unazikwa?
Mkuu hebu usinifanye nicheke kwa haya mawazo yakoπ
Kwahiyo hizo jamii wanaponda raha kusherekea wakati wa mazishi afu marehemu wanamuacha apambane na hali yake?Kuna jamii, Legend hapaswi kuliliwa wala kuonesha nyuso za huzuni. Kunywa, cheza, ruka, kesha ukisifu makuu ya huyo marehemu. Hii ni kwa Imani kuwa, aliyeishi Utu kabla ya kifo chake, hatapenda kuona watu wakiumia sababu yake. Hivyo kumtia moyo katika safari yake Furaha yenu juu ya matendo yake humrahisishia safari yake, asione kuwa ameacha deni nyuma.
Mara nyingi response za namna ya Diaz si za kuzitafsiri moja kwa moja vile zinavyoonekana kwa nje. Achilia mbali pia kila jamii ina desturi zake.
Sio kufundwa, inategemea ukaribu wako na aliefariki. Tuseme uwepo wake ungesaidia nini?! Kuna vitu binadamu tumejiwekea havimake hata sense.Yaani mwenzio afe,
Uwe na choices 2;aidha kuponda raha siku ya mazishi au kwenda kwenye mazishi,
Uforegone kwenda msibani kuzika
Uende kwenye party kuponda raha siku ya mazishi!
Mkuu aisee ni akili za ajabu hizi kuwahi kutokea,
Nyie ni binadamu wa kawaida kama sisi kweli?
Dunia gani hiyo mnafundwa hivi,au wenzetu mpo sayari nyingine?
Kwa kweli kuliko asepe Bure wamuuze tu.π¨ ππππππππ: Ibrahima KonatΓ© to Real Madrid, the deal is ACCELERATING, says LA SER! π€―π€―
Liverpool are seriously considering selling him this summer if he keeps refusing to renew.
The player only wants to join Real Madrid.
Sio kufundwa, inategemea ukaribu wako na aliefariki. Tuseme uwepo wake ungesaidia nini?! Kuna vitu binadamu tumejiwekea havimake hata sense.
Juzi hapa kuna rafiki yangu kafiwa na babu yake Muhimbili wamegoma kutoa mwili mpk watoe mil8 wanazodaiwa na hospital eti walikua wanachangaπ‘ aisee nilimshauri mwacheni huko wamzike, hapo ndio wataanza kulaumiana kwa ambao hawajachanga, vitu vingine ni upuuzi tu.
Mtu ameshafariki na harudi tena duniani mnawekeana tu chuki za bure.
π¨ ππππππππ: Ibrahima KonatΓ© to Real Madrid, the deal is ACCELERATING, says LA SER! π€―π€―
Liverpool are seriously considering selling him this summer if he keeps refusing to renew.
The player only wants to join Real Madrid.