Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Robertson ni rafiki wa kila mtu asee, Mo Salah naona ndio kaumia sana hata cha kuandika hana
Wanadamu tunatofautiana sana kwenye mapokeo ya taarifa mbaya, hata Van jana hakuandika chochote.
Ni ngumu sana kupata taarifa za kifo cha mtu ambaye mlikuwa mnakutana kila siku ndani ya miaka mitano

Kama sisi tupo hivi je, wachezaji wenzake wakoje?
 
Utakuta waswahili nao wanaiga kma wazungu kuzaa watoto wawili huku akijitapa mimi watoto wengi wa nini

Ndo inakuja kutokea kma hivi mtu huna ata wa kukupeleka hospital
 
Inauma sana. Sijui wazazi wao wapo katika hali gani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…