Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jana kwenye zunguka zunguka yangu online nikakutana na video ya Richard Hughes akitufunga goli kwenye kombe la f.a 2004 akiwa anaichezea PompeyπŸ˜‚πŸ˜‚

Miaka 21 baadae yupo kwetu si kama mchezaji bali kama moyo wa timuπŸ’œπŸ’œ

Natumai mambo makubwa na mazuri yanakuja kwa sababu tuna mtu sahihi wa kuyaleta, dirisha lililopita la usajili nililaumu sana utendaji wake wa kazi kumbe sikujua

Kwa usajili ambao ushafanyika na tetesi zinazoendelea kuwepo za usajili unaofuata CB na ST ni huyu mwamba
 

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯Sealed signed and finished.
Who is next guysπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…