Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

๐Ÿšจ๐Ÿ”ดโšซ๏ธ The buy back clause for Jarell Quansah deal exclusively revealed last week will be worth over โ‚ฌ60m.

It wonโ€™t be available in 2026, only from 2027 as agreed between Liverpool and Bayer Leverkusen.

The initial fee will be ยฃ30m plus ยฃ5m add-ons.

โœ… Maelezo Muhimu kuhusu dili ya Jarell Quansah:

  • Ada ya awali: Pauni milioni 30
  • Nyongeza (add-ons): Pauni milioni 5 kulingana na utendaji
  • Kifungu cha kununua tena (Buy-back clause): Zaidi ya Euro milioni 60
  • Kitaanza kutumika: Kuanzia mwaka 2027 pekee, si kabla ya hapo
  • Anayenunua: Bayer Leverkusen
  • Taarifa: Ilifichuliwa wiki iliyopita kwa kipekee

๐Ÿ”ด Liverpool wamejihakikishia uwezekano wa kumrudisha Quansah siku zijazo, ishara kuwa bado wana imani na uwezo wake wa muda mrefu licha ya kumuuza sasa.
 
Utambulisho wa Kerkez ni leo.
Captain Marvelous tunasubiri mapicha picha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

YNWA
View attachment 3382905
๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿ™๐ŸพHawajaziachi aisee zitakuja tu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€huyu ni wa kwetu mbona.

Kerkez ni habari nyingine kabisa ni mridhi sahihi wa mishe za Robbo na pia hua anatupia magoli hivyo tupo kwenye mikono salama

YNWA
 

Your browser is not able to display this video.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ