Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Alizimba masikio yake hakutaka kusikia timu nyingine zaidi ya Liverpool. Hua napata faraja kuona wachezaji wakisema ni Liverpool tu na hakuna mwingine, Florian na Kerkez ni mifano hai kwamba bado tuna mvuto uwanjani na ki ushindani.
Gonga cheers πŸ₯‚ πŸ₯‚ πŸ₯‚ kushabikia timu yetu pendwaaa.

YNWA
 

πŸ₯‚πŸ₯‚πŸ₯‚πŸ₯‚πŸ₯‚πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯🀣🀣🀣🀣🀣🀣

YNWA
 
Kostantinos Tsimikas πŸ‡¬πŸ‡·

kuhusu uwezekano wa kuondoka Liverpool au ligi ya England kiujumla , amesema

Kiuhalisia mahitaji makubwa ni kucheza zaidi ,lakini binafsi yangu kucheza michezo 27-29 kwa mwaka katika mashindano yote nibora zaidi kwangu kuliko kucheza michezo 40 katika timu nyingine na ligi nyingine , binafsi hapa nilipo nipo katika njia kuu ya mpira wa miguu ".
 
Quality over quantity πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Boy feels at home.

Sasa mnasema aje aodoke 'Babu' Robbo ama Tsimikas ama wote aafu tubaki na Kerkez na Owen BeckπŸ€“πŸ˜ŽπŸ˜Ž

YNWA
 
Haya FSG malizia Striker tufunge Kitabu cha usajili.

Kuhusu DM nitawasubiri January au next season kwasasa nikipata Striker sina cha kuwadai.

Bila ya Striker inaweza kutuletea changamoto kwani mfungaji pekee alikuwa ni MO Salah hivyo msimu huu akiwa vibaya manake hatuna mfungaji tutakufa vibaya sana.
 
waongee vizur na Napoli tuwape Nunez na vihela kidogo tumchukue Osmihen
 
🚨🩺 Medical tests underway at Liverpool for Milos Kerkez after arriving on Monday!

Contract set to be signed right after for Β£40m deal done from Bournemouth.
 
Kama kweli hatupo mazima wa Osiemen basi kuna tatizo kubwa sana kwa huyu dogo ambayo hatujui maana ukitazama GA yake inatosha mno.
Ni mchezeshaji , ni mfungaji, hana injury za mara kwa mara.

YNWA
 
Quality over quantity πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Boy feels at home.

Sasa mnasema aje aodoke 'Babu' Robbo ama Tsimikas ama wote aafu tubaki na Kerkez na Owen BeckπŸ€“πŸ˜ŽπŸ˜Ž

YNWA
Kwa kifupi Tsimikas haondoki ndani ya Liverpool hadi wamfukuze.Hiyo ndio tafsiri sahihi ya maneno yake

🀣🀣🀣
 
Kwa kifupi Tsimikas haondoki ndani ya Liverpool hadi wamfukuze.Hiyo ndio tafsiri sahihi ya maneno yake

🀣🀣🀣
Mchezaji kama huyu muda wote anakua yupo kwa ajili ya timu kupambana na si kingine...
Pia yupo Chiesa kwenye hio listi wachezaji ambao hawanuni wasipopewa nafasi.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…