Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,253
Kivumbii 🔥🔥🔥Saint Anne haya maneno Baby wako wa zamani alishawahi kuambiwa na Arne Slot. Na Alonso kamwambia tena mchezo wa kwanza tu. Alipoambiwa na Slot mazoezini aongeze jitihada akasusa, sasa huku ndio yanaanza kumkuta 🤣🤣🤣
View attachment 3375813
Trent shikilia hapohapo hadi timu ishuke