Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Gareth Barry alikuwa bonge la mido, tukashindwa kumchukua akaenda City, Mzee Rafa alikuwa na kipindi kigumu sana kupata wachezaji aliokuwa anawataka
 

Kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba huyu FMG anacheza RB na RW hivyo ni kama Slot anaanza kujipanga Salah akisepa AFCON dogo atasimama upande ule ina maana upo uwezekano Slot akiwatumia kwa pamoja na dogo Bradley πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯tunahutaji CS wa nguvu sana.

YNWA
 
Your browser is not able to display this video.

Ubingwa mtamu sana yaaani EPL baba laoπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯tazama dogo apa ana vibe kama zote.

YNWA
 
Tuna uhitaji wa DM kwanza chief
 
Just for fun
Kumbe atmosphere ya Anfield inatisha kupita kiasi nilichokuwa nafikiria.
Tazama Arteta mazoezini mechi kabla Ya liverpool anaplay song la u will never walk alone kwenye viwanja vya mazoezi ili wachezaji wajiweke sawa kiakili.
 

Attachments

  • VID_20250601_072105_467.mp4
    22.5 MB
umemsahau caragger
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…