Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Suarez aliwahi kuomba kwenda Arsenal
Wafia timu wa Liverpool wa hivi karibuni ni Gerrard, Agger, VVD hao ni Liverpool tu hakuna kingine....
Japo kwa Agger alitia huruma sana maana Manchester City walileta ofa ya $40m dogo akasema bado ana mission Liverpool akagoma kuodoka aafu mkataba wake ulikua unaelekea ukingoni basi bhana muda wa kuongeza ulivyofika FSG wakala Kona hivi hivi yaaani ikabidi Agger arejee maskani kwake kukipiga...

Msione Salah anakua na vijembe ikifika muda wa kuongeza mkataba ni kwamba anacheki na historia ya waajili wake kashawasoma.

YNWA
 
Yaah alisema yeye tuu kuupata mkataba mpya ni bahati kulingana na sera ya klabu
 
Huyu dogo na Rahim Sterling wanatofauti Gani?
 
Wamiliki walimuangusha mzee Rafa, replacement ya Alonso eti akaletwa Aquillani😥😥
 
Tangu niishabikie hii timu, hii ni mara ya kwanza naona sokoni wamechangamka
 
mbadala alikua somebody barry wa aston villa (alikua swahiba wa SG), sijui tom&hicks wakafanyeje dili ikagoma akaenda city!
ndipo tukaishia kwa Aquilan (ambae hakua mpango wa rafa)

sema rafa amefundisha liver kipindi kigumu sana, ila alitengeneza timu nzuri sana!
 
Huu usajili wa Aquilani ni utapeli wa Karne...
Dogo Kule Italy alikua wodini muda wote aafu unamleta kwa bwebwe eti next Alonso yaaani hakika tumepita wakati ngumu sana

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…