Daadeki, ni wewe huyu? Hahaha,Hajafeli bado
Bado ni mdogo
Bado ana nafasi ya kubadilika,
Kocha mpya anaweza kumbadilisha.
Tusimkatie tamaa.
Hata kama hafungi ila mchango wake uwanjani ni mkubwa sana.
Beast❤❤😄Ibrahima konate
Fabrizio Romano mkuuMkuu Weka na source basi
Bora tungechukua Rayan Cherki tuSasa nyie, hela ya kununulia striker na DM yote mnaenda kumaliza kwa Wirtz 😂 Sisi tumekimbia hiyo biashara ya kitapeli.
Nimepata notifikesheni hapa ya yutubi sikuwa najua tumemlamba mtu bao nne, aise bwana sisi ndio Chelsea bwana alaah, Nani ayiogopi Chelsea???😂😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mpaka muda huu OllaChuga Oc bado hajaja kuwatambia humu na kombe lake?
Itakua hana habari yeyote kama timu yake jana ilikua inacheza fainali na wamebeba kombe, Saint Anne mshutue jamaa yako aende akaangalie matokeo live score halafu aje awafanyie fujo humu.
Mr. MVP Man😄😄💪
Tungemchukua Rayan cherki tuhuyu wirtz kwa over 90m napata wasiwasi kweli,
wachezaji wa bei kubwa huwa na pressure, matokeo yake anakua failure!
Umefufuka SasaNyie matakataka Manalala wakati sisi ni mabingwa wa kila kombe hahahaha hahaha hahaha amkeni kuku ninyiiii😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Kaeni kwa kutulia huyu jamaa ananyooka nje ya box kama C10 kipindi akiwa anfieldTungemchukua Rayan cherki tu
Toka umejua kiswahili basi unaandika weeKonate ni pure talent na ndio maana anakomaa hata mkataba mpya klabu impe pesa za kueleweka. Ishu yangu kwake ni kuumia mara kwa mara ... Konate sidhani kama kuna msimu EPL alitupa gemu 30 ...klabu impe mkataba mpya na hapo hapo wasajili msaidizi mwenye umri 19 mpaka 23 hivi ili aww sub ya Konate au VVD...
Kipaji kikubwa Cha Konate ni kusoma mchezo aisee hio ni next level.
YNWA