Unataka ufahamu kuhusu nini?Mona kazi imekushinda, ona nishapata Mwalimu πππ
Mimi zaidi ya kelele na kushangilia, sijui chochote kuhusu mpira.
Yaani mifumo, Sheria.
Kama vile Mona anavyosemaga sijui tulianza 4,3 ngapi sijui
Tukaswitch kwenda sijui ngapi.
Mhona mm huwa sioniππnaona tu watu wanakimbia mpira unarudi unaenda muda mwingine unapotea, basi.
VyoteUnataka ufahamu kuhusu nini?
Aondoke bure na bado aondoke kabla ya wakati?View attachment 3333689
Saint Anne huyu X ni boya tu huyu ni kumbania hadi muda wake wa mkataba uishe wote ndio akajiunge nao.
Unaona Madrid nao wanamtaka kabla ya mkataba ili akacheze klabu bingwa ya dunia. Yaani Liverpool (Edwards na Hughes) Wamkazie aondoke tarehe 30 mwezi wa sita na Madrid wasimtumie kwenye michuano ya Club bingwa wa duniaAondoke bure na bado aondoke kabla ya wakati?
Kwa raha gani aliyonayo huyu jambaziπ
Wiki zilizobaki ni za kumkaanga kwa vichambo
Hatujamaliza Wana liver mlete Tirentiiiπππwaaah mlete mdhunguu
Tumchambe Tirentii
Siyo mwaka huu tena?PGMOL wakiacha uhuni ni kila msimu
Haondoki hadi amalize siku ya mwisho ya muda wake Liverpool.Unaona Madrid nao wanamtaka kabla ya mkataba ili akacheze klabu bingwa ya dunia. Yaani Liverpool (Edwards na Hughes) Wamkazie aondoke tarehe 30 mwezi wa sita na Madrid wasimtumie kwenye michuano ya Club bingwa wa dunia
View attachment 3333711
Wakati mnakubaliana mi nilikuepo? Au akidi ilitimia kwahiyo hata tuliokosa show inatuhusuSiyo mwaka huu tena?
Si tulikubaliana msimu huu mnabeba UEFA hata kwa kuwanyang'anya kwa nguvu washindiπ
Haondoki hadi amalize siku ya mwisho ya muda wake Liverpool.
Labda atorokeπΉ
Wewe si ndio ulisema hivyo humuWakati mnakubaliana mi nilikuepo? Au akidi ilitimia kwahiyo hata tuliokosa show inatuhusu
Katoto kamefanya upumbavu sana haka! Kanakosea mapenzi na timu ya England? Kanaenda bure kama hakana thamani! Nakalaani Boli liishe na kasiitwe tena kwenye timu ya Taifa!View attachment 3333689
Saint Anne huyu X wako ni boya tu huyu ni kumbania hadi muda wake wa mkataba uishe wote ndio akajiunge nao.
Ukikuta nimeandika hayo maneno ya kitapeli humu ndani nahamia unitedWewe si ndio ulisema hivyo humu
Au umesahauπππ
Hadi nikakwambia mkichukua UEFA naacha kutumia jfUkikuta nimeandika hayo maneno ya kitapeli humu ndani nahamia united
Katoto kamefanya upumbavu sana haka! Kanakosea mapenzi na timu ya England? Kanaenda bure kama hakana thamani! Nakalaani Boli liishe na kasiitwe tena kwenye timu ya Taifa!
Ngoja nitulie nisome.Saint Anne anzia hapo halafu tutaanza kuchambua mfumo mmoja mmoja
Timu ya Liverpool hutumia mifumo mbalimbali ya uchezaji kulingana na mpinzani, hali ya mchezo, na mbinu za kocha. Hata hivyo, tangu Jurgen Klopp aanze kuinoa timu hiyo mwaka 2015, mifumo ifuatayo imekuwa maarufu mpaka sasa chini ya Arne Slot:
1. 4-3-3 (Mfumo wa Kawaida)
Huu ndio mfumo wa msingi uliotumiwa sana na Klopp:
Walinda mlango 1
Mabeki 4: Beki wa kushoto, wa kulia, na mabeki wa kati wawili.
Viungo 3: Kiungo mkabaji mmoja (kama Fabinho, awali), na viungo wawili wa mbele zaidi.
Washambuliaji 3: Mshambuliaji wa kati (kama Darwin NΓΊΓ±ez) na winga wa kushoto na kulia (kama Salah na Diaz).
Mfumo huu unasisitiza presha ya juu (high pressing) na mashambulizi ya kasi.
2. 4-2-3-1
Huu umetumiwa mara kwa mara dhidi ya timu ngumu au ili kuleta uwiano wa kiungo:
Kiungo wa ulinzi wawili.
Kiungo mshambuliaji mmoja (namba 10).
Winga wawili na mshambuliaji mmoja.
3. 3-2-2-3 (Mfumo wa mabadiliko wakati wa kushambulia)
Klopp alianza kutumia huu zaidi msimu wa 2022/23 na 2023/24.
Trent Alexander-Arnold huingia katikati kama kiungo wakati timu inashambulia, na beki mmoja hubaki nyuma kusaidia ulinzi.
Hii huzalisha mfumo wa 3-2-5 au 3-2-2-3 wakati wa kushambulia.
4. 4-4-2 Diamond (Mara chache)
Hutumiwa kwa timu zinazojaa katikati ya uwanja.
Huongeza nguvu ya kiungo na mshambulizi mmoja zaidi.
Kwa ujumla, Liverpool inajulikana kwa:
Gegenpressing (presha kali ya haraka baada ya kupoteza mpira).
Kuutumia vizuri uwanja mzima kwa upana.
Kushambulia kwa kasi kupitia winga.
Katafulia mpaka kajambe cheche! Kakirudi England kanaishia kusajiliwa na Everton!Ngoja kaende
Mishabiki ya Madrid itakakaanga kama karanga