Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi wakuu uwanja hamna hata tetesi za kuuweka vizuri hata kama everton maana upo kizamani sana aisee mpaka manyumbu watatuzidi
 
Vipi kuhusu uwanja mkuu hamna hata tetesi za kuuweka kisasa maana upo kizamani sana wenzetu Everton wamejenga uwanja mkali sana
Uwanja wetu kama nyumba ya jongoo mkuu unaongezwa ndani kwa ndani baada ya anfield kuongezwa majukwaa hakuna hizo tetesi nafikiri hata plan waliua!
 
Daah nyumbu nao wanatengeneza uwanja mkali kiukwrli licha ya matokeo miundombinu inatakiwa iwe mizuri aisee
Ni kweli kabisa unaongeza mapato kwa kuingiza watu wengi na pia watu kufanya kama utalii wacha tuone mbeleni matajiri wamerukia kununua timu huko spain..
 
Hv huyu agent wa Ryan Gravenberch's mnamuelewa kweli? πŸ˜‚
 
Mambo haya yalitakiwa yafanyika kabla hata January mnasubir mmepoteza vikombe.? Na huyu Salah msimu huu kwake ndio mwisho baada ya hapo atakuwa hana tofauti na sterling
Acha kujisahaulisha kwamba tangu asajiliwe Anfield, haters mnamuita OSW(One Season Wonder)?

Kwa hiyo hizi ngonjera tushazizoea wala hazitutishi
 
Slot confirms that Alisson now fully recovered from concussion and set to start v West Ham. Bradley also expected to start after lively cameo v Fulham.

#JamesPearce
 
Kweli umemchoka mdogo wako
Yaani wewe ni WA kusema Nunez Auzwe?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…