Kashadaka moja 😁😁😁😁jini hiliWazee kwa Dounarruma sijui kama mtatoboa.
Anakuaga mtulivu sana huyo jamaa.Kashadaka moja í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸jini hili
Kadaka ya piliAnakuaga mtulivu sana huyo jamaa.
PSG wamecheza vizuri hata nyinyi mmecheza vizuri sana ni basi tu hamkuwa na bahatiTumeng'atwa na Mbuzi
Kwa huyu kipa wa Psg inabidi hizi dakika 15 zilizosalia Liverpool wafanye juu chini wapate goli, la sivyo hili kipa la mikono 100 linaweza likawachomolea betri kwenye penalties.


Nilijua tu hili lidude likisimama tu pale golini linatisha, halafu Nunez kwa kipindi hiki sio wa kumuachia kupiga penalty kabisa, ni kumtafutia lawama tu za bure na kumchonganisha na mashabiki.