Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kusema ukwel mechi ya juzi ilikuwa ni Allison becker vs psg. Whether we like it or not πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“πŸ”¨
Inanikumbusha tukio la wanamgambo wa Hamas Oct 7 walivyovamia kambi ya IDF mpakani mwa Gaza na kuanza kuwatembezea kichapo wanajeshi wa IDF.

Liverpool waliteseka sana hawakuamini walichokutana nacho japo walishinda,
 
yaani unasema umebakwa ila sio sana pole mzee ndio tushashinda sasa 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…