The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,170
- 20,202
Vipi mateta mfaransa wa Crystal palace ama Semenyo mghana wa Bournemouth?Nina mashaka na fitness ya Isak ndugu na pia focal point kama ataedelea kua Salah just incase akasaini misimu miwili...
I would rather get Mbuemo wa Brentford na Martinez wa Inter pale mbele.
YNWA
