Ndiyo maana, nikasemaga, for his own sake, he needs to leave LFC, it will never work for him there.
Against, Brentford, he scored to IMPORTANT goals, bila zile goals, tungekuwa na gap ya 5-6 points, now.
But, one tight miss, maneno yanakuwa mengi sana kwa Nunez, tena kwenye same game, ambayo Jota missed an open chance too, why tusiwe na usawa katika ukosoaji? why tunachagua watu wa kuwashushia lawama pale matokeo yanapokuwa mabaya?
Msimu huu, ni Salah & Gakpo pekee ndiyo hawastahili kukosolewa kwa chochote kwenye our attacking-line, maana wame-step up sana na ndiyo wanaibeba front-line yetu.
Goal alilofunga Diaz against Everton, ndiyo lilikuwa goal lake kwanza after going TEN games bila kufunga, na huyu ni starting LW au sometimes false 9, but huwezi kuona akiwekwa kikaangoni na "wachambuzi".
Nunez has failed at LFC, its so obvious, but hastahili hii treatment ya kipuuzi anayopata, na huku kuna wenzake wanai-cost team na hawapati hostile treatment kama anayopata Nunez, mfano tu ni game ya jana, both him & Jota missed important chances, but yeye aliyemiss chance ngumu kidogo ndiyo anashambuliwa.