Tumebakisha mechi 5 za Awa ambazo 3 tu ndiyo ngumu.
Kati ya hiyo 3 migumu tunaweza kupoteza michezo miwili kati ya hiyo na kutoa sare na Brighton.
Versus Man City - loss
Versus Chelsea - loss
Versus Brighton - draw
Versus Leicester - Win
Versus Fulham - Win
Kati ya points 15 tunaweza ambulia points 7 tu hapo na kupoteza points 8 hii ni based on our current away performance kuanzia January mpaka jana usiku.
Arsenal akishinda leo usiku tutakuwa tumemuacha kwa points 5 hivyo tukipoteza hizo points 8 tutakuwa na Deni la points 3 hii manayake ni lazima tumfunge tukikutana.
Hivyo kitu cha Msingi tushinde mechi zote za Anfield ikiwemo dhidi ya Arsenal basi moja kwa moja tunakuwa mabingwa kwasababu Arsenal naye hawezi kushinda michezo yote 14 mfululizo iliyobakia.
Kiufupi kutokana na Mtaji mkubwa wa points tuliojiandalia hapo awali yani kuongoza kwa points 9 imetusaidia sana kwasababu sio jambo rahisi mtu kutupita kilaini hizo point ni nyingi kwa kumfukuza mtu na ukampita tofauti na watu wanavyodhani.
Mathematically tuna nafasi kubwa sana ya kuwa mabingwa.