Mkuu zingatia haya 👇
1. Kikosi hakipangwi kwa hisani na fulani naye apate kucheza.
Hivyo kila Mtu atapangwa kutokana na anacho offer kwenye Timu.
2. Timu yetu haipo kwenye kipindi cha mpito (Transitional period) yaani hatupo kwenye Phase ya kujenga Timu bali tupo kwenye phase ya kushinda Trophy kupitia Timu ambayo ilishajengwa na Klopp, hivyo hakina kocha anayepaswa kufanya majaribio ya wachezaji kwenye kipindi kama hiki kwamba umpumzishe Key Player ili umjaribu mwengine? Big No yani.
Ukisikia afe punda mzigo ufike ndiyo kipindi kama hiki na position tulionayo! Hapa tulipo ndiyo kipindi ambacho Mchezaji anacheza hata kwa Sindano (Anti-pain) Alimradi tu tufanikiwe.
Hao kina Elliot, Hendo, sijui Chiessa kwa kipindi hiki watuache wasubiri hizo hizo dakika zao 20 mpaka 30 za kipindi cha pili.
HUWEZI BADILISHA TIMU YA USHINDI WAKATI KAMA HUU
Tunahitaji ubingwa