Emotions getting highBrother, stop.
Kauli zako, zote mbili huko, zinasema goal limetokea upande wa kulia, na kauli ya pili ukasema upande wa kulia ni uchochoro wa kila siku.
nani anaye-defend our right side?
Nilichofanya ni kuonesha kuwa goal la forest siyo mistake ya Trent wala our right side.
Agenda.
We need defenders this JanIts us or Arsenal for the title this season.
If Arsenal get a formidable ST/CF, hii second-half itakuwa ni close-ride.
Even though our squad is thin, interms of quality, but if our big/important players (VVD, Alisson, Konate, Grav, Trent, Szobo, Alexis & Salah) stays fit majority of this season & Gakpo/Diaz keep/stretch their good form for a little while, we will go all the way.
Injuries & fatigues, can be a killer, we just need to avoid/manage hivyo vitu kwa ufanisi.
nadhani hata makocha wetu huwa haaaendi public kudai wachezaji tofauti na pep anaeongea hadharani..... nadhani hili ni tatizo piaCity, will be paying Marmoush close to Salah's wages anayopata at LFC.
Marmoush had 1 & half top/big season in Germany, hana kombe lolote la maana kwenye CV/resume yake, but player mwenye CV kama ya Salah anaonekana greedy kwa kutaka an improved contract kutoka kwa FSG & LFC, and Trent with his CV/resume cant ask for 300k.
FSG and their apologists, wame-set standards za chini sana kwa hii club yetu, na inaumiza sana.
Proper/top reds, wanaponda Pep anavyo-spend hii January, but thats what winners do, Man City wanahitaji a serious squad-rebuild, na unaona jinsi wanavyoshambulia hii january transfer window ili ku-save their season, sisi tulipata CBs crisis wakati ule, na FSG wakaishia ku-spend £2m kwa Davies & loan ya Ozan Kabak.
Its sad sana kuona baadhi ya LFC fans wanawa-entartain hawa jamaa, wametu-cost a lot of trophies kwa kuruhusu team kuwa short kwenye baadhi ya departments for years.
Last time we bought a CB was 2021, last time we bought a real DM was 2018.
Kocha aanze kuwaamini wakina Endo,Elliot,Chiesa Jota na Tsimikas waanze ktk first eleven coz wana fresh legs Kuna baadhi wa players washaanza kupungua ule ufanis sjui sababu wametumika sana au vip
Watoto wabishi hawa balaaGame ya Brentford inanipa wasiwasi sana yani kila mwaka January lazima iwe mwiba kwetu
Mtu si mbwa😀Nunez kaamka 😝😝
2 za chap chap
Sure! Ametubeba, si kwa kubahatisha ni kwa kumaanisha. He's shown us that he can be clinical. But thumb up to Chiesa alikuwa chachu some how!BIG BIG BIG credit kwa Darwin for his late double, He delivered when we need him most most.
THANK YOU DARWIN.
Mkuu tuna sare za kutosha ujue.Daaah. Nyie wahuni huu msimu umewanyookea balaa. Mnashinda tu yaani.