Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

We need fit Salah, Gakpo, Diaz and Jota to win against Brentford.

Yani ni lazima tushinde
 
Pia washabiki punguzeni lawama zisizo na maana kwa wachezaji

Yani kila siku mara Trent, mara VVD, mara Salah, mara Alisson why?

Kama FSG imeshindwa kuwashawishi kuwapa Offer nzuri ya kubaki si tuheshimu maamuzi yao ya kuondoka tu kwanini tuwashambulie?

Mpira ni kazi kwao hawachezi kwa hisani wacha wakatafute kibarua kwengine tuache lawama zisizo na umuhimu
 
Hii mentality ipo tu kwa mashabiki wa Real Madrid aisee.
Huku kwingine tutawaburuza na kuwanyooshea vidole wachezaji utadhani wana hisa Liverpool.
Tutaelewana tumeipenda wenyewe.

YNWA
 
Mechi tano zijazo kwa Liverpool na Arsenal..
Liverpool
Screenshot_20250116_113339_com.android.chrome~2.jpg

Arsenal
Screenshot_20250116_113358.jpg

YNWA
 
Tunarudi kwenye winning ways… kuanzia na Brentford.

Turudi hapa why LFC tumekwama kutoka mwaka upinduke?

Hatuna balance kwenye striking force. How tunamtegemea Salah akiwa kwenye bad patch individually or tactically we are done, unlike kipindi tupo hot kipindi una Bobby, Mane & Salah, ilikuwa ngumu hawa jamaa ku drop form kwa wakati mmoja.

Its up to Gakpo/Diaz/Jota ku step up ku produce good no. Consistently. Diaz uwezo anao ila most of the time he has bad decision making even worse. Kuna mahali anapaswa kufanya mambo mepesi just one dribbling then pass it, but he used to have unnecessary more touches.

Gakpo has a good on decision making, he has to put much effort ana uwezo wa kufanya zaidi.

Jota (injury & inconsistency),

Szobo anapaswa kuongeza no. Kiwango bora kabsa under lfc jersey ni vs Spurs (6-3), then B’mouth last season (3-1)

Uwezo anao wa kufanyw hivyo, last match vs NF, kuna shooting chances alikuwa anazipata ila kujaribu hajaribu. Dont know ni maelekezo ya Slot au yeye mwenyewe tu??

Konate & AB1 wapo kwenye bad patch kwa sasa, lets see their form recovery.

We are going to register our 1st EPL match of 2025….

It’s up to FSG now to back up Slot in January TW.

Ynwa’
 
Hamna kitu
 
Wako njema forest ,uwanjani wamechangamka hawatembei.
Its impressive how Forest closes the pocket aisee waaa just the beauty of proper well coached team.
Nikivyoona tunaanza kupiga mashuti nje ya kumi na nane nilijua Slot aidha hana solution ya low block ya hawa jamaa ama he was just testing waters and in any way they are so disciplined no losing shape, attack in counted moves and not the door open even when the chances came they were there man to throw bodies yaaani Nuno has worked wonders. Wakipata Champions League na Edu akiwa ana pull negotiations kwa new players mbona jamaa itakua sio one season wonders..
Msimu huu City Ground ndio uwanja wenye kufungwa magoli machache sana

YNWA
 
Tunarudi kwenye winning ways… kuanzia na Brentford.

Turudi hapa why LFC tumekwama kutoka mwaka upinduke?

Hatuna balance kwenye striking force. How tunamtegemea Salah akiwa kwenye bad patch individually or tactically we are done, unlike kipindi tupo hot kipindi una Bobby, Mane & Salah, ilikuwa ngumu hawa jamaa ku drop form kwa wakati mmoja.

Its up to Gakpo/Diaz/Jota ku step up ku produce good no. Consistently. Diaz uwezo anao ila most of the time he has bad decision making even worse. Kuna mahali anapaswa kufanya mambo mepesi just one dribbling then pass it, but he used to have unnecessary more touches.

Gakpo has a good on decision making, he has to put much effort ana uwezo wa kufanya zaidi.

Jota (injury & inconsistency),

Szobo anapaswa kuongeza no. Kiwango bora kabsa under lfc jersey ni vs Spurs (6-3), then B’mouth last season (3-1)

Uwezo anao wa kufanyw hivyo, last match vs NF, kuna shooting chances alikuwa anazipata ila kujaribu hajaribu. Dont know ni maelekezo ya Slot au yeye mwenyewe tu??

Konate & AB1 wapo kwenye bad patch kwa sasa, lets see their form recovery.

We are going to register our 1st EPL match of 2025….

It’s up to FSG now to back up Slot in January TW.

Ynwa’
Kocha aanze kuwaamini wakina Endo,Elliot,Chiesa Jota na Tsimikas waanze ktk first eleven coz wana fresh legs Kuna baadhi wa players washaanza kupungua ule ufanis sjui sababu wametumika sana au vip
 
hawa fsg sijui huwa wanawaza nini
Ni ngumu sana kuelewa aisee. Manchester City wapo wanafukuzia wachezaji wanne kwa mpigo... Na FSG wapo wanatazama Gravenberch akicheza markshift defender yaaani......... hizi fursa ni adimu tunayo hapa lakin mmh wapo wanakula burger tuu na coka barid sanaa.

YNWA
 
Bro

Did I mention Trent?

Brother, stop.

Kauli zako, zote mbili huko, zinasema goal limetokea upande wa kulia, na kauli ya pili ukasema upande wa kulia ni uchochoro wa kila siku.

nani anaye-defend our right side?

Nilichofanya ni kuonesha kuwa goal la forest siyo mistake ya Trent wala our right side.

Agenda.
 
Kusema kweli ubingwa wa msimu huu haujawa defined clearly ni wa nani hadi sasa. Liverpool, chelsea, arsenal, city na hata Forest bado wanaweza kutwaa kombe msimu huu. Kilichowasaidia Liverpool msimu huu waliuanza vizuri sana kuliko wenzie na ndicho kinampa cushion nzuri ya kutopaniki kila wakipoteza au kutoa droo mechi zao hasa za round ya pili. Hamna form nzuri kwa sasa kama ilivyo kwa wapinzani wenu arsenal, chelsea na city. Hili hamlioni kwa sasa ila come March/April mkiwa mnapumuliwa kisogoni mtanikumbuka.
Its us or Arsenal for the title this season.

If Arsenal get a formidable ST/CF, hii second-half itakuwa ni close-ride.

Even though our squad is thin, interms of quality, but if our big/important players (VVD, Alisson, Konate, Grav, Trent, Szobo, Alexis & Salah) stays fit majority of this season & Gakpo/Diaz keep/stretch their good form for a little while, we will go all the way.

Injuries & fatigues, can be a killer, we just need to avoid/manage hivyo vitu kwa ufanisi.
 
Ni ngumu sana kuelewa aisee. Manchester City wapo wanafukuzia wachezaji wanne kwa mpigo... Na FSG wapo wanatazama Gravenberch akicheza markshift defender yaaani......... hizi fursa ni adimu tunayo hapa lakin mmh wapo wanakula burger tuu na coka barid sanaa.

YNWA

City, will be paying Marmoush close to Salah's wages anayopata at LFC.

Marmoush had 1 & half top/big season in Germany, hana kombe lolote la maana kwenye CV/resume yake, but player mwenye CV kama ya Salah anaonekana greedy kwa kutaka an improved contract kutoka kwa FSG & LFC, and Trent with his CV/resume cant ask for 300k.

FSG and their apologists, wame-set standards za chini sana kwa hii club yetu, na inaumiza sana.

Proper/top reds, wanaponda Pep anavyo-spend hii January, but thats what winners do, Man City wanahitaji a serious squad-rebuild, na unaona jinsi wanavyoshambulia hii january transfer window ili ku-save their season, sisi tulipata CBs crisis wakati ule, na FSG wakaishia ku-spend £2m kwa Davies & loan ya Ozan Kabak.

Its sad sana kuona baadhi ya LFC fans wanawa-entartain hawa jamaa, wametu-cost a lot of trophies kwa kuruhusu team kuwa short kwenye baadhi ya departments for years.

Last time we bought a CB was 2021, last time we bought a real DM was 2018.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom