Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Itoshe kusema FSG wapo kibiashara ya kukuza brand yao na kuiongezea growth, hizi tetesi za Elon kuwa interested kununua Liverpool ni sweet sana kwa FSG maana hata bei wanaona klabu value imekua kutoka £300m mpaka sasa ipo £4b🔥🔥mostly hii inatokana na Klopp Effect imewapa sana stability on n off the field growth.
Sasa kama wamekua hivyo bila kuweka wage structure kubwa na bila kua serial buyers sokoni je unadhan leo hii ndio wataanza kugawa mikataba minono na ku deep big sokoni wakat status quo inawapa tremendous growth?
Mi nadhan itabidi tupige ramli 🤓🤓wenzetu wazidi kua vimbaya zaidi yetu 🙈🙈na upepo wa majeruhi utupite mbali sana aafu tuone mwisho wa msimu tutakua wapi la 20 lipo Anfied ama tumekua tena wasidikizaji.
Wakati Kipara anapambana kukamilisha dili 3 January hii Edwards yupo anatulisha matango pori..
Mbuemo naona rasmi big guns wanamtolea sana macho. This boy is typical Liverpool player kama alivyokua Mammosh na huyu nae atachukuliwa hivi hivi. Yetu macho tu. Sina hofu na forward line hata wasiponunua sasa waliopo wanatuvusha salama. Ishu kuu ipo ulinzi maana tunaruhusu sana magoli pale panahitaji quick solution.

YNWA

LFC supporters bado wana ile mentality ya kuwa FSG saved us, they didnt save us from shit, back then ilikuwa ni business opportunity kwao, at £300m, hakuna mfanyabiashara asingefikiria kuweka pesa yake, ndiyo maana interested parties zilikuwa nyingi sana, Sheikh Mansoor alivyotukosa kwasababu ya politics, akaamua kuwekeza Man City.

FSG, saw a perfect business opportunity na kuamua kui-grab, kutoka kununua club for £300m, mpaka now kuwa valued at £5b, ni opportunity ambayo hawawezi kujutia in their life-time, na tunaongelea kuhusu brand ya "Liverpool FC", one of the biggest brand/product in the world, so they knew faida watajayopata wakinunua LFC, na ndiyo maana they had to grap chance ya kununua a debt-riden club (kipindi kile) bila hata kusita, because walikuwa wanajua faida yake in the long-run.

So, kama FSG wasingenunua hii Club, other people wangenunua, so suala la kuwa they saved us, ni ujinga.

Msimu huu, tunawez tukashinda PL title, but next season utakuta tunagombania Top 4/5, na sababu ni kutokuwa na sustainable development na uwekezaji mdogo kwenye team, sometimes unajiuliza Man City wangekuwa kwenye top form yao ya kila msimu tungekuwa tunaongoza league? then unajiuliza why tunaona City kuwa ni kipimo cha mafanikio kwenye PL titles? why tunaona tunaongoza league kwasababu City ni mbovu? why tunaona kama ni bahati? then unaangalia kikosi chako, unaona Summer tumemsajili Chiesa tu, na tukaanza msimu a 31 year-old Japanesse DM ambaye alikuwa ni stop-gap tu, the coach had to put an 8 at 6, tukaanza msimu na 3 senior CBs ambao wawili ni injury prones, etc, hapo unaona kweli we punching above our weight, but ni sawa? club ambayo ipo valued at £5bn, bado inastruggle kutafuta a fabinho replacament? when was the last time tumenunua a defender?

Unakumbuka, tumeshinda CL, tukanunua kina Harvey, VDB and Adrian, tuliolalamika tukaonekana "washenzi" kwasababu Club wakati huo ilikuwa kwenye "stable" condition, na tulionekana washenzi zaidi, tulivyoshinda PL title msimu uliofatia, but matokeo ya kutowekeza vizuri baada ya our CL win, yalionekana 2 years later, na mpaka kupelekea tukacheze Europa league, hii yote ni kwasababu hatuzingatii sustainable development, tunaridhika na occassions, kama vile ni small club.

Now, tunafanya vizuri, so hakuna mtu atakuelewa ukiongelea kuhusu good additions kwenye squad, au suala la KUBAKIZA world class kwenye team (mtu anakwambia Bradley is better than Trent), but 1-2 years from now, Slot akiwa ana-struggle ku-shape team kwasababu ya uwekezaji/planning mbovu kwenye squad, ndiye atakayekuwa anatukanwa, na FSG hawatoguswa hata kidogo.
 
Khavicha is ready made for Liverpool any day of the week. Ishu kuu boy has his heart at Real Madrid big time one day so itakua ngumu sana.

YNWA
He's well & set for PSG.

Think we asked for his wages, na watakuwa walitutumia offer ya wage-package ya PSG, sidhani hata kama tulirudisha email, hahaha.
 
Robbie Fowler ni LFC legend, but LFC was his comfort zone, hana career yeyote outside of LFC

He flopped at Man City and he flopped at Leeds.

Achana na club alizopita baada ya his prime, huko kote hakuwa na impact yeyote.

Yeye mwenyewe ni mfano pekee kuwa majani cant always be greener on the other side, na sometimes things haziwezi ku-work out kama unavyodhani, ingekuwa hivyo yeye mwenyewe angekuwa na good career out of LFC, but hana na hakuwa nayo.

so, instead ya ku-throw jabs at the kid, mpe ushauri, au muache aondoke LFC. Owen went to Utd, but huwezi kuona ana-bash LFC players kwenye medias, na hii siyo mara ya kwanza kwa Fowler,
 
This means mfumo wetu umeshindwa kumu-accomodate Nunez kwa vile Salah ndiye main goal-scorer wetu, hivi ni kama vile Salah ndiye amezungukwa na wote.
Kwa hivi kama Slot au yeyote ataamua kujenga timu kwa Nunez, anaweza akawa monster kama alivyo Isak, au Haaland(haijalishi amestuck kwa muda)
LFC fan punguzeni Big Expectations kwa vitu ambavyo haviwezekaniki ,Nunez hana traits zozote za kuwa Monster at LFC ,Hivi mkisema Nunez amefeli LFC kuna shida gani ?? Its just football, Kwa mentality kama hizi basi tutakaa na wachezaji wabovu kwa muda mrefu sana.
 
LFC fan punguzeni Big Expectations kwa vitu ambavyo haviwezekaniki ,Nunez hana traits zozote za kuwa Monster at LFC ,Hivi mkisema Nunez amefeli LFC kuna shida gani ?? Its just football, Kwa mentality kama hizi basi tutakaa na wachezaji wabovu kwa muda mrefu sana.
Traits za ST kuwa monster at LFC ni zipi mkuu?
 
Zubimendi to Arsenal.

Richard Hughes anatakiwa kukaa mbali sana na mitandao leo.

Abuses anazopata now, ni balaa.

I wont abuse him or his family, but Zubimendi going to Arsenal siyo good look kwake.

Hope he's well.
Ni kweli huyu Richard Hughes yupo likizo?
 
Zubimendi to Arsenal.

Richard Hughes anatakiwa kukaa mbali sana na mitandao leo.

Abuses anazopata now, ni balaa.

I wont abuse him or his family, but Zubimendi going to Arsenal siyo good look kwake.

Hope he's well.
Mkuu, kwanini Richard Hughes kwamba we need a top Director kuliko yeye.

LFC hatujawahi kuwa serious Club, No ambition.

Caicedo joined Chelsea, Tchouamen joined Real Madrid ,Jude joined Madrid and now Zubimendi Arsenal and many more failed target too.
 
Tunazungumzia kuhusu team kujaribu kushinda Premier League title, EFFORT haiwezi kuwa strongest asset at that particular moment. Huu ni wakati wa kuhitaji QUALITY tu. We need to win games, We need someone how score.
FB_IMG_17368754419550051.jpeg
 
Mkuu, kwanini Richard Hughes kwamba we need a top Director kuliko yeye.

LFC hatujawahi kuwa serious Club, No ambition.

Caicedo joined Chelsea, Tchouamen joined Real Madrid ,Jude joined Madrid and now Zubimendi Arsenal and many more failed target too.
Its all stems from having cheap owners kama FSG.

Ambitions na u-serious wa club unatokana na aina ya owners ambao Club inayo.

Man city owners promised Pep new signings hii January, and they are delivering, so far.

With Gabriel out for a season, Arsenal lazima wataingia sokoni for a new striker.

At, LFC ni tofauti, owners cant even back the manager ambaye ana-deliver kwa kiasi kikubwa now.

FSG are cheap, so huwa wanahitaji cheap people kama wao, ili kumaintain profit margins zao.

Hughes got the job at LFC because he's friends with Edwards, i mean hiyo haiwezi kuwa sababu ya MAANA, because he was doing good at Bournemouth, but from Bournemouth to LFC ilikuwa ni BIG step, but because salary demands zake hazikuwa kubwa, FSG didnt hesitate, NOW, me sina shida na Hughes at LFC, but him kutoka Bournemouth mpaka LFC, ulimuandaa vipi? uliandaa mazingira gani kuhakikisha anaanza kazi yake vyema? maana now ishu ya Zubimendi, imefufuka na imekaa vibaya sana kwa upande, je club & edwards wangeweza kuliepuka hili? yeah, wangeweza, ni suala la kumpa msaada, siyo kumtupa kwenye politics, ili awe room ya ukosoaji, maana sahiv kila sehem ukipita, anaetukanwa na Hughes, na kama ninavyosema kila siku, FSG wana-get away with murder again.

I dont hate Hughes, and my number one rule ni ile ile, i'll give him time (personally), this window & summer transfer window, BUT on the real part, i dont think he's good enough kwa club kama LFC, because kwa level yake, he cant demand nothing from Edwards & FSG, he just receives orders, LFC needs a DOF mwenye Voice/decision maker.

and the fact kuwa, Edwards limited Slot kwenye "head coach" level, ili yeye awe na full-control, imefanya kazi ya Hughes kuwa ngumu zaidi, maana kama Slot angekuwa ni manager, wangekuwa wana-work hand kwa hand kwenye decision making.
 
He's well & set for PSG.

Think we asked for his wages, na watakuwa walitutumia offer ya wage-package ya PSG, sidhani hata kama tulirudisha email, hahaha.
Well we can just hope boy trip to Paris turns like Ugarte or Muani haha waiting in the wings next summer 🤓🤓..
Or we can do a swap with Diaz if he can't commit to peanut pay from FSG in the near future.. Haha dreams.
Barca watupe Raphina aafu Diaz huyooo Catalan just like his Dad said boy loves playing at Catalan

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom