Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_0090.jpeg
 
This means mfumo wetu umeshindwa kumu-accomodate Nunez kwa vile Salah ndiye main goal-scorer wetu, hivi ni kama vile Salah ndiye amezungukwa na wote.
Kwa hivi kama Slot au yeyote ataamua kujenga timu kwa Nunez, anaweza akawa monster kama alivyo Isak, au Haaland(haijalishi amestuck kwa muda)
In ideal world huko Ureno nk that is possible kujenga team around Nunez strength lakini ukiwa EPL ni ngumu sana maana hakuna muda wa majaribio ni mchakamchaka Kusaka ushindi...
Mfumo wa Klopp uling'aa Sanaa kutumia false 9 Liverpool too bad Bobby wasn't getting any younger hivyo Klopp akaona atuletee new idea CS Nunez Probably ikiwa kabon kopi ya Lewandoski alivyomtumia Klopp pale Dortmond. But due to Liverpool identity of not having to play lone 9 ambayo Nunez alitumia sana Benfica na kwa mafanikio haikua rahisi na haijawai kua rahisi, matokeo yake tua mchezaji asiefiti mfumo vyema Anfield...
Kuhusu Salah kubakia kua focal point kwa sasa ni sawa kabisa maana ana deliver week in week out that speak volume.

YNWA
 
Ila captain, swala na Nunez Klopp aliambiwa kabisa ila akaamua kuwa mbishi kama kawaida yake akaenda kumwaga hela kwa Nunez na maneno tele

Same scenario wakati Rogers anamtaka Benteke naye aliambiwa akabisha
 
Kwa staili yetu ya uchezaji ilifaa atue kwa Martinez pale Inter Milan au Neres i guess kwa sasa Napoli au Adayemi Dortmond.
Klopp probably alitaka kubadili mfumo wote case study Mane na Firmino kuodoka na in advance akaja Jota then Nunez nwa only Klopp anajua alichokua anakitaka.
Too bad kwa Nunez he is broken kwa sasa low confidence hatumiki to his strength maana Salah is the bomb pale mbele its Salah way etc

YNWA
 
This means mfumo wetu umeshindwa kumu-accomodate Nunez kwa vile Salah ndiye main goal-scorer wetu, hivi ni kama vile Salah ndiye amezungukwa na wote.
Kwa hivi kama Slot au yeyote ataamua kujenga timu kwa Nunez, anaweza akawa monster kama alivyo Isak, au Haaland(haijalishi amestuck kwa muda)

We failed to plan our future with Nunez in the team, it happens kwenye football, siyo kitu kipya brother.

Nunez, amekuwa ni victim wa mazingira yaliyomkataa, na siyo his fault, for the past 3 seasons, hatuchezi mpira/shape our structure kwa kuzingatia his strength/ubora wake, na ni understandable, maana we cant risk him kuwa our man-man, wakati kuna Salah, ambaye namba zake ni almost incomparable.

Nunez, siyo first flop at LFC, and he wont be the last one, na yeye ku-fail ku-deliver at LFC haimaanishi kuwa ni bad football player, it just didnt work out, and thats life.

Yes, anaweza kuwa monster (100%), but not at LFC, football ni mchezo wa confidence, and huwa inachukua muda sana kuijenga confidence kwa mchezaji, na kumfanya ajihisi ni TEGEMEZI kwa team, hilo halipo kwa Nunez, he wants to leave, it means haoni future yake at LFC, na hii ni mpaka kwa his family & friends, and lets be honest, we are not planning our future with him, so hata akibaki, itakuwa ngumu sana kucheza na saikoloji yake now, na kwenye mpira, wataalam wa upande wa saikoloji, huwa wanashauri maxmum 2 years ya adjustment period kwa players/coaches, baada ya hapo kama aki-fail ku-settle, it means anakuwa ameshindwa kujingenga mentally kulingana na occassion, na pia club (especially kwa player) inakuwa imeshindwa kumjenga/shape his mental & environmental state.

Kwa Darwin, i blame the Club, if we wanted kutoka nje ya ombwe la Firmino, tulikuwa tunahitaji kubadilisha our whole set-up, pamoja na kuminmize umuhimu wa Salah, kitu ambacho kilikuwa ni impossible, so the least tungefanya ni kutafuta profile kama ya Bobby, au inayoshabihiana naye, maana huwezi kupata exact profile kama ya Bobby, so tafuta inayoshabihiana nayo & mold it.

He wants to leave, and i wish him nothing but success popote atakapoenda, he's 24, bado ana time kubwa sana.
 
Hivi ni kweli?
Captain Marvelous TIMING MosDef The MoNA

🚨 Club staff at Liverpool are frustrated by Richard Hughes' decision to take annual leave (in January) during the crucial opening weeks of the transfer window, citing concerns over the lack of activity in player signings.

Kuhusu January TW, nasubiria mpaka litakapokaribia kufungwa, kwasasa its too early, kuanza kujudge our movements kwenye market.

People around the club, are just concerned na Hughes ability kuhusu ku-close deals, alipata ukosoaji mkubwa sana kwenye ishu ya Zubimendi, but deeply, Edwards ndiye wa kulaumiwa, that was Hughes first big gig, hakutakiwa kwenda Spain, alone, he thought he had closed the deal, after first meeting (player & the club), then him & Edwards leaking ile habari kwa kina Joyce & Ornstein, kabla ya Spanish medias kujua kinachoendelea, ilikuwa ni big mistake, because Socieadad supporters walipata utambuzi wa kinachoendelea kupitia medias za UK, na outrage ilikuwa huge, Zubimendi kwa Socieadad ni kama sisi na Trent, tumeshuhudia Trent akikua at LFC tangu akiwa mtoto, so as fans tuna ile dhana ya kuwa tunamu-OWN, ni same na kwa Zubimendi, so Zubimendi curved in, and decided to stay, maybe him & his camp & the club had another way ya ku-introduce aina ya jinsi ya yeye atavyoondoka (gradually) kwa fans, but we ruined the plan, kwa ku-leak our agreement news with him kwenye English medias, ambayo ilikuwa ni move ya kitoto sana, as hakukuwa na competition kubwa yeyote ya his signature.

And, the fact kuwa Hughes decided to flew back to UK baada ya first meeting tu, ilikuwa ni bad move, sijui kama bado alikuwa anahisi yupo Bournemouth na ana-negotiate na players from lower leagues or championships, that was Zubimendi, ambaye inajulikana ni jinsi gani file lake lilivyo gumu, he had rejected Barca, Bayern & Arsenal appraoches kabla yetu, so its not like alikuwa eagar kucheza at LFC, alikuwa anahitaji kuwa convinced, ipo hivyo kwa kila top class football player.

We are active hii january TW, hence ni muhimu kusubiria kama tuta-act, but we are active.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom