Wazungu walishatuacha mbali mno sisi majungu na ujingaAisee kumbe ni pitch bora sana 😅😅😅
MosDef
Captain Marvelous
Saint Anne
The MoNA
View attachment 3193284
Ongezea mkuu na uchawi 😀Wazungu walishatuacha mbali mno sisi majungu na ujinga
Simba na yanga uchawa pro max umasikini hakika ndio maana tunakomaa kuwachukia badala ya kujifunza wao waliwezajeOngezea mkuu na uchawi 😀
Liverpool ni ya viwangoAisee kumbe ni pitch bora sana 😅😅😅
MosDef
Captain Marvelous
Saint Anne
The MoNA
View attachment 3193284
KabisaLfc is a system ndio maana wakiondoka wanachuja
Na ndio maana nikaku tag 🤣🤣🤣Liverpool ni ya viwango
Tofauti na wale nyumbu uwanja wao ni viota vya panya
Waaaaa hii jipya kwangu aisee hata sijwawai kujua haya mambo kwamba ni one of its kind...thanks mateAisee kumbe ni pitch bora sana 😅😅😅
MosDef
Captain Marvelous
Saint Anne
The MoNA
View attachment 3193284
Download Live Ten SportsLink Ya Game Wakuu
Robbo leo mpaka sasa hana ishu mbali upande wa Trent wamekua bypassed mno probably Ibu hajawa fit asilimia mia huku Trent ni Trent.Robbo leo aache masihara.