Mkuu
MosDef
Hivi ishu ya salary at LFC huwa ni sera au ni makubaliano kati ya pande mbili?
(Kambi ya mchezaji na Management ya LFC)
Wage(s) structure ni POLICY.
At LFC, FSG wana limit ya Wage-structure yao, kwamba hawawezi kwenda above a certain amount, but kadri mpira unavyokuwa na mahitaji yake ya kibiashara, FSG wanajikuta katika ombwe la kubadilisha stance yao mara kwa mara, financial part ya football ya 2010's ni tofauti na ya 2020s, so ni lazima ukimbizane na mabadiliko if you want to remain at the top.
Club, inapokuwa inataka kumsajili mchezaji, huwa inakuwa obligated kupeleka proposal yake ya mshahara kulingana na uwiano/status ya mchezaji husika, na inakuwa ni kazi ya negotiators wa club kum-convince mchezaji why wanadhani kiasi cha mshahara wanacho-offer kinamfaa kwa wakati huo, LFC tuna wage-limit yetu, na ndiyo maana mara nyingi sana huwa hatushiriki kwenye bidding wars, mfano, unakuta LFC tunamuhitaji GAKPO, na Utd pia wanamuhitaji GAKPO, club husika inakuwa imesha-issue price ya kuweza kumpata, maybe ni £40m, na wote unakuta tuna uwezo wa kulipa hiyo, sasa unakuta kwenye wages, Utd wame-offer lets say 150k p/w (with bonuses), halafu sisi offer yetu ni 90-100k (with bonuses), hapa sasa utatakiwa kumueleza mchezaji ni kitu gani utamu-offer cha maana zaidi ukiachana na mshahara, project yako ikoje, na atanufaika vipi na hiyo project long-term, umuhimu wake kwenye kikosi, na chance ya kubeba trophies, wakati wa Klopp, ikifikia hatua hii alikuwa anapiga simu direct kwa players na ku-sell his project & ideas kwa players, na mara nyingi ilikuwa ilikuwa ina-pay off (Virgil, Alisson, Fabinho, Salah, Konate, Wijnaldum, Mane, Keita etc), na ili-fail pia sometimes kwa kina Draxler, Gotze, Caicedo etc, tulikuwa tunatumia ile Klopp presence ku-rule out players, ambayo nadhani soon tutaanza kuitumia pia kwa Slot.
But, mchezaji akishakuja, na kucheza, kuwa star, mfano kina Salah/Virgil etc, kwenye ku-renew mikataba, wenyewe ndiyo wanakuwa na POWER zaidi ya Club, sasa inakuwa ni up to the club, kukubaliana na hiyo HALI, ndiyo maana last time, We had to BREAK our wage-structure kumpa Salah more than 350k+.
Kitu ambacho watu hatuelewi kwenye football, ni kuwa, its more than activities za kwenye pitch, mfano mdogo ni Salah, ukiachana na kile anachokupa uwanjani, he's a SUPERSTAR, ni moja kati ya TOP THREE most valuable & famous product kwenye PL, ukiachana na LFC, Premier League inategemea kuuza na kuongeza territories around the globe kupitia his face/presence, na kwa LFC anaingizia pesa nyingi sana kwenye merchs & other physical financial activities, people wanaingia jiji la Liverpool & then Anfield, kumshuhudia tu Salah, iwe kwenye games au kwaajili ya tourism, so mchezaji kama huyu huwezi kum-lowball akiwa anataka new contract, kwasababu atataka umlipe kile ambacho anadhani anastahili kulingana na mapato/revenues ambazo club inapata kupitia his name, Salah anaweza asiwe na shida na basic wage yenyewe, but mkapishana kwenye image rights.
Na hii inaenda kwa Trent pia, Trent aliyeingia kwenye first 11 7-8 years ago, siyo huyu wa sasa, he's a SUPER-STAR, most influential Right Back in the game right now, almost kila RB kijana anaekuwa anataka ku-imitate his game, players all around the globe wanatamani kuchezi with him or against him, Diaz wakati anakuja LFC aliulizwa, akasema anataka kucheza na Trent, same kwa Gakpo, same kwa Nunez, same kwa Szobo, every young CB now wants to be VVD, the most complete young CB in the game right now, Saliba, role model wake ni VVD, konate came at LFC kwasababu ya VVD, a lot of young CBs wants to be VVD, huyu huwezi kukaa nae chini kwenye mkataba na ukataka kum-lowball, wakati anajua his worth na kile anachokileta on the table.
Trent kabakiza miezi sita kuwa a free agent, so anaruhusiwa ku-negotiate na other clubs, same kwa Salah & VVD, so kwa mantiki hiyo hapa mchezaji anakuwa anawinda a big package ya Signing on fee, so now Madrid wanakuwa on the phone na Trent's agent tu, ambapo wanakuwa wana-negotiate ile signing on fee, na rumours ni kuwa Madrid are offering si chini ya £50m (TZS 150bn+) hiyo inaenda straight kwenye mfuko wa Trent & his brother (agent), thats a generational wealth, so kabla hatujaanza kulaumu hawa players kuwa na hard-time ya kufanya maamuzi magumu, tujiulize tu sisi wenyewe binafsi, tungeweza?
Trent's issue is far from over, Madrid are still there, but again, lets hope it will all play out well, in the end.