Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sorry man 😃😃😃

Kuna vijana wa hovyo sana, mpira wa ulaya ni burudani lakini wao huja na ushabiki maandazi wa Simba na Yanga mpaka kwenye nyuzi kama hizi
Tena ana bahati sana umemjibu kwa kiswahili ili aelewe na aelimike japo kidogo. Ungekasirika umgemjibu kwa Kiingereza kama ilivyo kawaida ya jukwaa hili, akabaki anaduwaa tu
 
Nikiwa kama shabiki wa Fulham, sijafurahishwa na uwezo wa wachezaji wangu wa Fulham 😂
 
.......DEAD PLAYER
FB_IMG_17341959502707603.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom