HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,593
- 6,932
Huo ndiyo mpango mzee. Tunatakiwa tuwe kama tunamchangia. Uchukue wewe au mimi ila siyo kipara šnyie hata mkichukua ubingwa mimi sina shida ukiiukosa wewe nichukue mimi ila sio kipara pambaneni kwa hilo mkuu.

