Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sio kuwatisha broo, ninachofanya ni kuelezea hali halisi ya Arsenal linapokuja suala la kucheza mechi za pressure.
Kikubwa jitahidini leo mumfunge Porto ita boost confidence mkikutana na City, ila leo mkitolewa Uefa mtakua very desperate, mechi inayofata na City Guardiola atakua kama anamsukuma mlevi tu
Usituambie tujitahidi...saa Tano kama kwny kideo uone watu wanavyoulizwa maswali magumu🤠🤠...watoto wadogo sana wale
 
IMG_4905.jpg

Finally he is back. I’m so Happy.
Next
Sporting director Richard Hughes
Coach Amorim
 
hapana huyo jamaa si mtu wa makuu na huwa anajibu poa si kama mashabiki wa team nyingine lakini pia liverpool wengi ukiwauliza ni bora nyie mchukue kuliko kipara mkuu.
Kipara watu wamemchoka....anakufanya mtu usipoteze mechi zaidi ya 2 ukitaka ubingwa...too demanding kwakwli
 
Games Liverpool players have missed through injury this season:

🚑 Thiago: 43
🚑 Bajcetic: 37
🚑 Matip: 23
🚑 Robertson: 21
🚑 Bradley: 20
🚑 Doak: 20
🚑 Alexander-Arnold: 14
🚑 Jota: 14
🚑 Jones: 11
🚑 Alisson: 10
🚑 Salah: 10
🚑 Szoboszlai: 10
🚑 Tsimikas: 9
🚑 Mac Allister: 6
🚑 Gravenberch: 5
🚑 Konate: 5
🚑 Nunez: 3
🚑 Gakpo: 3
🚑 Kelleher: 2
🚑 Gomez: 1
🚑 Endo: 1

A combined 268 games. What we’ve done this season has been genuinely incredible.
Huyu Thiago ni noma
Yaani ni noma aisee

Yaani jamaa yeye ni hospital tu aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom