Huyo Fabinho sasa,.

hata kukimbia hawezi
Kwa ufupi wameenda kula maisha na sio kucheza mpira.
Macca as a DM baada kurudi injury alikuwa vizuri ali improve mno, alikuja kucheza na Endo akasogea juu tumeona ndani ya mechi 5 goli 1 na assist 3.
Nafikiri Gomez ukuta wa nyuma kaumaliza wote. Last match alipiga. LB, CB, RB and DM ndani ya mechi moja.
Yule Doucore kwa £80m tungepigwa he is good ila not in that value. Bora tuliopt na kumchukua Endo kwa bei che na kazi inapigwa. Goli la juzi yeye ali intercept vizuri japo wengi hawakuiona au hawaipiti credit ya kutosha kabla mpira haujanfikia Macca.
YNWA