Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Washabiki wa Arsenal nao wamekuwa watembeaji wa kila Jukwaa kuleta Trolls zao due to their current performance! They pretend their difficulties will not commence sooner or later.
Feel good is back at the Emirates aisee.... Back to the basics they have a chance ila wakijaribu sana kua wabunifu itawa cost...
Najiuliza huyu Kai hivi walimhitaji kweli ama dogo ana zali lake...


YNWA
 

Refa hastahili lawama, wakulaumiwa na marefa wa VAR
 
Nimejaribu kuifuatilia scenario nzima nimegundua VAR officials hawakuwa na makosa just ni misunderstanding tu between VAR officials and Referees.
Central Official (Referee) ndiyo aliyeshindwa kuumudu mchezo wetu wa jana.

Hali ilivyokuwa [emoji116]
Baada ya Luis Diaz kufunga goal na Referee kudecide kuwa ni offside kwa msaada wa Linesman, VAR officials walifikiri kuwa muamuzi ameamua ni goal hivyo hawakupiga ile offside line kwasababu it was obviously no offside hivyo hawakuona umuhimu wa kureview with offside line.

Hatimae VAR Officials wakawasiliana na Referee kwa kumwambia "Endelea na huohuo uamuzi wako ni sahihi (walidhani Refa aliamua ni goli)".

Naye Refa alipopata ujumbe wa kuwa abaki na uamuzi wake wa mwanzo kutoka kwa VAR Officials akaamua ipigwe Freekick na sio goli.

Refa aliamini VAR Officials wamekubali kuwa ni Offside.

Hivyo kilichotokea ni misunderstanding between Referee and VAR Officials.

Hii nimeisoma kwenye Article ya Mdau mmoja wa Soccer.
 
Mmefilimbwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usinizingatie sana
Mechi yenyewe sijaangalia
Ndio naangalia hapa marudio.


Nikishaicheck ntaona kama nabadili comment yangu au naiacha.
 
Hali ya Gakpo jaman, mwenye injury update atujuze maana mechi ijayo vs Brighton nahisi foward mmoja tu Nunez.
 
Nashindwa kupata logic, kwanini baada ya hapo VAR wasimkumbushe kwamba ni maamuzi ya usahihi wa goli ili arudi ku review? Kwani maamuzi ya VAR ni ndani ya sekunde au dakika ngapi?
 
Maisha ya football burudani sana unaweza kuwa na kitu inaitwa "spell " na referee,sisi Chelsea ndio wahanga wakubwa Sasa ivi tuna wachezaji vidagaa hata kutuonea wanaona aibu ila tukizubaa tunapigwa matukio
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…