Me mwenyewe nilipata wasiwasi
Hiyo z ya mwisho isipotamkwa mbona kama jina halinogi hivi[emoji19]
View attachment 2749518
Lethal weapon..
Super sonic speed..
Ohh boy.. Epl ain't ready for this epic star in th making..
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
YNWA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi Klopp anakomaa bado na 4 3 3 highline ? na wale mabeki wetu pale walivyo mizigo mbona nakua nama shaka...
Sijapata muda wa kuangalia full mechi zaidi ya highlight nielewe vyema huyu Babu anatupia mfumo upi...
Am back and Liverpool good times are back with a bang bang moto [emoji91] [emoji91]...
YNWA
-Nunez aliletwa kuwa mbadala baada ya Downtrending Bobby (CF & LW) pale mbele ila sio kwa Position ya RW & RM. LFC tuna Forwards wengi (ambao wana nature ya Left Wingers) Diaz, Jota, Nunez, Gakpo. Ukija upande wa RM or RWF Tuna Aging Salah, na Dogo Elliot tu na Angalau Dominik Szoboszlai:- Hili jamaa ni kiraka inakanyaga LM, RM, CM Japo kaja LFC Kawa Kichaa box to box.
_Khvicha Kvaratskhelia ni LW & sometimes CF ndo output yake ilipo. Hivyo kocha yoyote ata-change system kwa kuzingatia Nature ya wachezaji alionao na Outputs zao. Hata huko Napoli anakichafua sana lakini kocha hawezi kuvagaa upande wa wahuni akina Lozano na Politano.
_With all Due respect Nathamini sana Mchango wako [emoji3578]Nakubali Salah is aging but kumnunua Khvicha Kvaratskhelia kama mbadala?? I ain't buying.
Pia Kuna wengine wanaongelea kumleta Vini Jr aje apachikwe nafasi Salah pale LFC kama mbadala wake!!.. Mimi sio kocha ila by Common sense; That's completely unprofessional.
Nawaza tu angekuwa City.Sure angekuwa City au Madrid angeshatwa Ballon d’or yake maana no. Zingeongezeka.
Kiungo Milner, Hendo, Jones na bado anaweka hizo namba. Imagine playing with Modric and Kross. Playing with Gundogan and KDB,??
Bobby juzi aliandika kama utaniKlopp on Henderson:
Hendo is a fantastic player, but he’s not great when he’s not playing. Leiva and Millie were like this. They can turn into a bit of Jekyll and Hyde. He was my captain for 7-8 years but we cannot wake up and knock horns.
Klopp on Henderson & Saudi: “Hendo said the truth. That's how it was”. [emoji837][emoji1210]
“I told him I wanted him to stay but we talked about not playing regularly... If I'd told him: if you stay you'll be main man in midfield, then he would have stayed”.
Klopp on Henderson’s comments:
I didn’t read the interview, and then I did, to make my opinion. I told Hendo to stay, but I told him he may not be playing as directly as previous. I cannot tell a player he is guaranteed 50 games a season. It was really important we spoke about everything
Hatimaye Klopp amefunguka ukweli. Ndio maana they were must play
Wasituvuruge😂Lingetamkika kitukuyu soboslai. Ila sz hiyo inatamkwa ndio yenye ladha ya majina yao. Haya majins kama ya wapolish. Herufi nyingi katiks kuandika ila kutamka unaacha kadhaa.
Umerudi mkuu ,ulitupa wasiwasi familia ya wachambuzi nguli JfNipo ndugu.. Nimerejea mazimaaaa.
Thanks for caring. Nuff respec.
YNWA
Wewe sio mchambuzi nguli.Umerudi mkuu ,ulitupa wasiwasi familia ya wachambuzi nguli Jf
Nipo nimerejea ndugu yangu. Asante kwa kujali.Umerudi mkuu ,ulitupa wasiwasi familia ya wachambuzi nguli Jf
Huyu TAA defense hua ni tatizo kubwa sanaa kwetu the boy is never learning ... Kwenda mbele hana changamoto sana ila kuzuia ndio pana balaa especially akiwa under presha kubwa...Klopp kwa kiasi anabadilika. Highline ipo bado inatumika. Klopp anaenda na 3-2-2-3. Tukizuia tunacheza 4-2 (mabeki wanne wale mbele viungo wawili na wakati mwingine 3-2 (mabeki watatu TAA anasogea mbele).
Back four yetu not that much impressed ila unafuu upo kwa uwepo wa Szoboszlai na Macca (not as it was millie, hendo na Fabinho). Kwa sasa tuna monster mentality. Vs B’mouth still won the match with impressive performance from ten men. Same vs Newcastle oooooohh Nunez what a crazy moment. Tulizidiwa na furaha mechi ya Newcastle kwa sababu ya magoli ya Nunez from bench ambaye fans wana claim apate 1st eleven selection.
So far we are good compare to last season. Ila binafsi if you ask me LIVERPOOL of last 8 matches of the last season and this of this season which has good performance i will choose of the last 8 matches. We were better damn was too late.
TAA kafanya two errors na tukafungwa vs B’mouth na vs Newcastle. It would be ideal to play him as full MF than inverted role. His weakness as always on defending (marking, tackling, aerial duel) ila offensively he is a killer. Klopp anapaswa ajue ni jinsi gani anaweza kutumia strength ya TAA ili kufidia weakness yake.
Go and watch Dominic Szoboszlai, that dude is a baller, thanks we missed mount deal and sign Hungary Captain. What a player.
Baada ya vvd kuoneshwa kadi nyekundu, Dommy play deep with Macca Whole woooh woh what a player what a bargain. TAA akaachiwa apenyeze killer passes. Na tulinifaika. Our boy Darwin Nunez with his runs positions pace. Two shots two goals
There is a light at the end of the tunnel.
YNWA