Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Uwepo wa Nunez pale kwa bei ya klabu rekodi unakupa picha gani? Ni kwamba Klopp is changing the system...

Kacheki pale Napoli huyu dogo anavyochezesha timu
Khavicha & Victor Osimhen = Khavicha & Nunez n I tell you the street ain't ready for this combo...

Salah aint getting young anymore soon he will be gone, the earliest we plan his departure the better...

YNWA
 
Welcome back Captain Marvelous and @ladder

Mlipotea ghafla ghafla. Good thing you are all back.
Karibu tufurahie msimu mzuri with Moster Mentality we have currently.

YNWA
😂 😂 😂 😂 Hivi Klopp anakomaa bado na 4 3 3 highline ? na wale mabeki wetu pale walivyo mizigo mbona nakua nama shaka...

Sijapata muda wa kuangalia full mechi zaidi ya highlight nielewe vyema huyu Babu anatupia mfumo upi...

Am back and Liverpool good times are back with a bang bang moto 🔥 🔥...

YNWA
 

-Nunez aliletwa kuwa mbadala baada ya Downtrending Bobby (CF & LW) pale mbele ila sio kwa Position ya RW & RM. LFC tuna Forwards wengi (ambao wana nature ya Left Wingers) Diaz, Jota, Nunez, Gakpo. Ukija upande wa RM or RWF Tuna Aging Salah, na Dogo Elliot tu na Angalau Dominik Szoboszlai:- Hili jamaa ni kiraka inakanyaga LM, RM, CM Japo kaja LFC Kawa Kichaa box to box.
_Khvicha Kvaratskhelia ni LW & sometimes CF ndo output yake ilipo. Hivyo kocha yoyote ata-change system kwa kuzingatia Nature ya wachezaji alionao na Outputs zao. Hata huko Napoli anakichafua sana lakini kocha hawezi kuvagaa upande wa wahuni akina Lozano na Politano.

_With all Due respect Nathamini sana Mchango wako [emoji3578]Nakubali Salah is aging but kumnunua Khvicha Kvaratskhelia kama mbadala?? I ain't buying.
Pia Kuna wengine wanaongelea kumleta Vini Jr aje apachikwe nafasi Salah pale LFC kama mbadala wake!!.. Mimi sio kocha ila by Common sense; That's completely unprofessional.
 
Nikiona hizi Ranks na nikimkumbuka Sadio Mane [emoji26][emoji856], he was about seeking a bumper rise to £400,000 during contract extension negotiations, But the club surprisingly refused to meet his demands what a Joke[emoji15] yaani walitaka wa-move from 100k to 180k!!. Compare for what He did to LFC!!. But let bygones be bygones We Good now & Sadio is Good where he is🫶.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…