Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
Na Milner.π π π π π Yaaaaaani umemtupa Henderson hukoooooo unastahili lunch bhana.
YNWA
Babu Milner outNa Milner.
Yaani project zote ulizonikabidhi nimefanya kwa uamunifu kabisaπ€£π€£π€£π€£
Chezea Tukuyu weweππππ
We should bring back our Bobby πBabu Milner out
Babu Henderson out
Babu Kieta out
Dogo Ox out
Ulitisha sanaaaaaaaa aiseee yaaaaani na Bobby wetu huyoooo nae akasepa japo yeye kiroho saafiii
YNWA
πππππππππUmetishaaa sanaaaaa miss Liverpool.... Ningekua nabashiri nani auzwe walah Henderson angekua wa mwisho kwa kua ni toto pendwa la Klopp lakini nguvu ya dola za waarabu hata Henderson akaona akaaa nini kukaa benchi ngoja nisepe zangu.... Na asepe tu ametutia sana nuksi yule jamaa yaaani mdomo tuuu huku uwanjani hakuna output ya maana.Na Milner.
Yaani project zote ulizonikabidhi nimefanya kwa uamunifu kabisaπ€£π€£π€£π€£
Chezea Tukuyu weweππππ
Closed chapter ya Bobby na Mane next ni Salah. As a club we have to evolve n move to next level sio kubakia pale pale... Am positive Klopp is certain we are heading somewhere good as a club... Next window one CB na kikosi inakua kamiliWe should bring back our Bobby π
Roho inauma.
Dah mkuu umerudi aise.
Ametukaanga kwa kuturudisha nyumaπππππππππUmetishaaa sanaaaaa miss Liverpool.... Ningekua nabashiri nani auzwe walah Henderson angekua wa mwisho kwa kua ni toto pendwa la Klopp lakini nguvu ya dola za waarabu hata Henderson akaona akaaa nini kukaa benchi ngoja nisepe zangu.... Na asepe tu ametutia sana nuksi yule jamaa yaaani mdomo tuuu huku uwanjani hakuna output ya maana.
YNWA
Dah mkuu uliweka watu roho juu juu.Nipo ndugu.. Nimerejea mazimaaaa.
Thanks for caring. Nuff respec.
YNWA
Good moments zinakaa muda mchcheClosed chapter ya Bobby na Mane next ni Salah. As a club we have to evolve n move to next level sio kubakia pale pale... Am positive Klopp is certain we are heading somewhere good as a club... Next window one CB na kikosi inakua kamili
YNWA
Shkurani Mkuu. Naomba radhi kuodoka AWOL aisee... Nashukuru sana kwa kujali na nimepokea ushauri wako asante sana ndugu.Dah mkuu uliweka watu roho juu juu.
Ubinadamu hatar sana. Hata hatujuani,, ila ukimya wako tu ulitutisha,, next time say goodbye please.
Bobby was the propeller yaaani he made this boys enjoy playing beside him... We have been lucky kuwaona hawa jamaa aisee... Kwa sasa ni memories and we will cherish em as long as we can.Good moments zinakaa muda mchche
Keita ndio ameniumiza injury zimemfitinisha, ila KEITA ni kiungo mzuri sana sana.Babu Milner out
Babu Henderson out
Babu Kieta out
Dogo Ox out
Ulitisha sanaaaaaaaa aiseee yaaaaani na Bobby wetu huyoooo nae akasepa japo yeye kiroho saafiii
YNWA
Henderson "Klopp will i play all the games"... Klopp "no no you can't".. Henderson " there is an offer from SA".. Klopp "am i dreaming".. Take the offer hahaha Henderson gone..... Simple as ABC..... πππππAmetungaaka kwa kuturudisha nyuma
Bado huko alikoenda anatukaanga na domo lakeπ
Keita wa RB was pure gem aisee ila EPL ina mikiki ya hatare sanaaa asingetoboa kabisaa yule dogo na Klop amevumilia sana lakini akaona hata uvumilivu una mwisho... Bila zile injury dogo ana kipaji...Keita ndio ameniumiza injury zimemfitinisha, ila KEITA ni kiungo mzuri sana sana.
Wakuu huku EUROPA mbona kama sioni mpinzani kabisa.
Ngoja tupitie hizi timu tuone. Mtihani wa Europa ni kucheza Alhamisi ugenini aafu wekd EPL hapo ndio balaa aise lazima Klopp afanye game management ya top performers kwa umakini wa hali ya juu sana.Wakuu huku EUROPA mbona kama sioni mpinzani kabisa.
Kwa LFC hivi sasa rotation inaumiza kichwa upande wa viungo maana namba ya viungo imekuwa ndogo sana +upande wa CB na RB, kwa forward hata sina shaka napo kbisa.Ngoja tupitie hizi timu tuone. Mtihani wa Europa ni kucheza Alhamisi ugenini aafu wekd EPL hapo ndio balaa aise lazima Klopp afanye game management ya top performers kwa umakini wa hali ya juu sana.
To be honest I ill prefer EPL over Europa... Hii iwe rubber stamp
YNWA
πππππππHenderson "Klopp will i play all the games"... Klopp "no no you can't".. Henderson " there is an offer from SA".. Klopp "am i dreaming".. Take the offer hahaha Henderson gone..... Simple as ABC..... πππππ
YNWA
Now here we goBobby was the propeller yaaani he made this boys enjoy playing beside him... We have been lucky kuwaona hawa jamaa aisee... Kwa sasa ni memories and we will cherish em as long as we can.
YNWA
Welcome back broNipo ndugu.. Nimerejea mazimaaaa.
Thanks for caring. Nuff respec.
YNWA