Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyo atakuwa ni Malafyale[emoji23]
Kutokea Ushirika Tukuyu Mbeya.
Ila jamaa anaonaga kama pekeyake ndio shabiki halisi wa liver utadhani alikulia Anfield na akina Trent.
 
Huyo atakuwa ni Malafyale[emoji23]
Kutokea Ushirika Tukuyu Mbeya.
Ila jamaa anaonaga kama pekeyake ndio shabiki halisi wa liver utadhani alikulia Anfield na akina Trent.

Msimu uliopita yeye na wenzie waliufyata. Wakatoka mashimoni kwenye zile last 8 matches baada ya kufanya u-turn those matches.

Ilikuwa ni debate kati ya Hendo na Keita. Bahati mbaya sana Keita akawa injury prone akatuangusha tuliowekeza matumaini yote kwake.
 
Kabisa kabisa aisee, inanikumbusha ile Chemistry ya Bob Firmino na Salah misimu kadhaa iliyopita
 
Halafu hata tukishangilia ushindi
Atakuja kujimilikisha ushindi na kuanza kutukataza kushangilia
Akijiita yeye pekeyake ndio fan halisi,
Kisa tunaikosoa team inapochemsha.
 
[emoji599] BREAKING: Virgil van Dijk is banned for another match and fined £100,000 [emoji777][emoji732]️

This happens after labelling the referee John Brooks' decision to send him off against
 

Kunakitu kizuri kinakuja na Salah amekiona ndomana katamani kubaki
Hapa gem naziona zinachelewa sana
 

Baada ya Mauzo ya Henderson ndiyo nimepata muda wa kurudi kwenye huu uzi ambao nilishautelekeza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…