Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ikitokea wameanza basi kuna mid mwingine atakua dropout, ila sio kwenye ule utatu tena

Mpira ni mchezo ambao mchezaji anacheza based on performance na sio based on Mtazamo.
Hivyo yoyote anaweza kucheza na yoyote usikate hukumu kubwa haiwezi kutokea.
 
Kuna Mtu kafanya maamuzi mabovu sana wakati tulikuwa kwenye nafasi ya kufunga goli la 4.
 
Huyu Bajcetic msim ulio pita ndiye alituokoa klopp anampango gani nae?
 
Hivi Salah huyu ndiyo Watu walitaka auzwe sio?
Kwa maoni yangu liverpool wangechukua mzigo wa pesa. Kikosini tusingeona mapungufu yake. Kwa kuwa dirisha kwa saudi ni mpaka tarehe 7 mwezi huu, chochote kinaweza kutokea.

Wamuuzee tu. 200mls sio kitu cha masihara.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…