Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hawa mashabiki wa LFC wanaosema Salah auzwe now, ndiyo watakuwa wa kwanza kumtukana Klopp, tukiwa tuna-struggle ku-create au kufunga goals, na mwisho kushindwa kumaliza kwenye UCL places.
Washindwe kabisa
Salah hakuna kuondoka sasahivi

Akiondkka mapema tutapoteana mazima.
 
Dah
Aya yako ya juu imeniumiza Mkuu
Kusema Trent ni Liability 🥺


Kuhusu Gomez sijui labda kwa sababu sijui mpira
Ila mi sioni chochote kwa jamaa.
 
Kama nilivyosema, ule utatu wa hovyo Gakpo, Diaz, Salah umekufa rasmi

Sloz na Gapko hawapaswi kuwa pamoja uwanjani
 
Hata kama alikuwa kwenye offside position huyu Matip ndiyo akose pale lakini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…